Unaongoza kundi kimazabe ? Punguza uchungu ujitenge na sononaUsiwadanganye wenzako. Simba hawana timu, huwa wanapita kimazabe sana. Juzi mlikuwa mkisema wenyewe timu mbovu, leo yamekuwa haya baada ya kushinda?
Mimi hata ningekuwa siko Yanga, siipendi acheni kuna wachezaji. Hapa Aucho kule Mzize Babeki.