FT: CAFCC: Simba SC 2-0 CS Constantine | Estadio Benjamin Mkapa | 19.01.2025

Kwa nini sasa unaichukia timu kubwa kama Simba ilhali timu unayoshabikia ni ndogo kama piriton?
Hakuna timu nzuri kama Yanga. Ukiwa na kichwa timamu lazima uishabikie Yanga. Sijui nikuelezeaje hii Yanga uwiii. Hilo litimu lenu madunduka silipendi sijui nalionaje. Hata wachezaji hawaeleweki, njoo kwa masbabiki sasa 🀭🀭🀭🀭🀭
 
Aaah wapi ukiwa na akili timamu?
Wakati Yanga wenye akili ni wawili tu?

Ama Kweli naamini Yanga wenye akili ni wawili tu!
😁😁😁
 
Usiwadanganye wenzako. Simba hawana timu, huwa wanapita kimazabe sana.
Kwa Simba, Hakuna uhusiano wa kufika robo ya mashindano ya Africa na ubovu wa timu.
Tofauti na Yanga Simba hata ikiwa mbovu ya kufungwa goli 5 za kimazingaumbwe na Yanga bado robo itaenda. Hawapiti kimazabe, wanajua wafanye nini wapite hata timu ikiwa mbovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…