FT: CAFCC: Simba SC 2-0 CS Constantine | Estadio Benjamin Mkapa | 19.01.2025

Simba Sc tuna team ya hovyo sana, imeshuka sana viwango.

Katika game hii unaona kabisa eti Simba Sc nao wameridhika na kuishia kupiga pasi za nyuma tu.
 
Simba inashinda leo alaf kwenye point 3 wanazopata wanatoa point 1 wanampa utopolo ili afuzu kucheza kucheza mashindano ya Mbuzi choma cup
 
Utopolo wamekumbuka kuchukua kalamu na karatasi wajifunze kwa mnyama leo? Au bado wamejifungia wanalia?
 
Wachezaji hawapo makini wanapoteza mipira kirahisi sana, back pass zimekuwa nyingi ambazo hazina maana wamerelax sana.
Wameridhika sana kwakua wameingia robo fainali tayari, bila kujua wanatakiwa kushinda ili waanzie ugenini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…