uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
Sema timu yetu inatabia yakukata moto.Wakinusurika First half kwa Mashambulizi haya second half hawatapona..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema timu yetu inatabia yakukata moto.Wakinusurika First half kwa Mashambulizi haya second half hawatapona..!
Unaona anachofanya lakini?Tunahitaji kuongoza Kundi.
Advantage yake ni mechi ya Robo fainali tutamalizia nyumbani.
Mechi muhimu sana hiyo.
Huyo Ateba ni kiazi kabisa.Kucheza sana halafu hufungi inakera
Wachezaji hawapo makini wanapoteza mipira kirahisi sana, back pass zimekuwa nyingi ambazo hazina maana wamerelax sana.Kucheza sana halafu hufungi inakera
Hii timu kuna muda unaweza tamani ufukuze yote. Wanacheza upumbavu tu. Huoni mwanga wala dalili za kuboreka katika michezo yao.Leo tunacheza kama tunaongoza goli tatu
Chura unajitutumua!!!Simba Sc tuna team ya hovyo sana, imeshuka sana viwango.
Katika game hii unaona kabisa eti Simba Sc nao wameridhika na kuishia kupiga pasi za nyuma tu.
Wameridhika sana kwakua wameingia robo fainali tayari, bila kujua wanatakiwa kushinda ili waanzie ugenini.Wachezaji hawapo makini wanapoteza mipira kirahisi sana, back pass zimekuwa nyingi ambazo hazina maana wamerelax sana.
Ateba utamlaumu. Umeona 'Open play' ngapi ambazo straika ametengenezewa?! Tunacheza sana 'wide' na namba 10 wetu sio mchezeshaji asilia.Huyo Ateba ni kiazi kabisa.
Wewe kama siyo chura basi umebet na nakuhakikishia wachezaji hawawezi kuvunjika miguu kisa buku lako ulilotandika kwa MuhindiSimba Sc tuna team ya hovyo sana, imeshuka sana viwango.
Katika game hii unaona kabisa eti Simba Sc nao wameridhika na kuishia kupiga pasi za nyuma tu.
Kuna back passes hazina hata sababu, kuna mashimo yapo wazi lakini jitu linapiga nyumaWachezaji hawapo makini wanapoteza mipira kirahisi sana, back pass zimekuwa nyingi ambazo hazina maana wamerelax sana.
Nifuatilie vizuri mimi ni shabiki wa Simba Sc ila sijawa mjinga wakusifia chochote wanachofanya wachezaji bila kujali wanafanya nini.Chura unajitutumua!!!
Simba Sc tuna team ya hovyo sana, imeshuka sana viwango.
Katika game hii unaona kabisa eti Simba Sc nao wameridhika na kuishia kupiga pasi za nyuma tu.
😀😃😃Simba tamu sana jamani!!
Unaona ball linavyopigwa?
Natamani tukutane na Uto hata kesho tuwapige kama mbwa koko
Hawana kiu ya ushindi morality haipo kabisa, kipindi cha kwanza cha ovyo kbsa tuone team coach atafanya nn kipindi cha pili.Kuna back passes hazina hata sababu, kuna mashimo yapo wazi lakini jitu linapiga nyuma