Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Yaan nafasi zote hizo jamaa kanapaisha juu kmmke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna haja ya matusiHuyu Ahoua ni msengee
Simba tamu sana jamani!!
Timu nyingine ipo mashindano ya akina mama.Wanaume wa Tanzania wako kazini. Timu ya mchangani ishatupwa nje ya mashindano ya wakubwa.
Ni mchezaji mzuri, Anakuwa sehemu sahihi, wakati sahihi ila leo naona shots zake zimekosa accuracy.Huyu Ahoua ni msenge
usiombe ukutane na mwananchi utapigwa kama ngomaSimba tamu sana jamani!!
Unaona ball linavyopigwa?
Natamani tukutane na Uto hata kesho tuwapige kama mbwa koko
Mechi za Kariakoo derby zina mambo mengi mno. Simba inaweza kuwa vizuri mno na vyura wakashinda.Simba tamu sana jamani!!
Unaona ball linavyopigwa?
Natamani tukutane na Uto hata kesho tuwapige kama mbwa koko
Wasichojua watu hapa Bongo timu yangu ni Yanga lakini timu nyingine ninayoipenda ni Simba Sports Club.
Mwananchi gani?usiombe ukutane na mwananchi utapigwa kama ngoma
Tunahitaji kuongoza Kundi.Tulishafuzu kwa nini Nouma asiingie badala ya Zimbwe?