Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Wataje.Msimu huu kauza key players wake 8....unategemea nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataje.Msimu huu kauza key players wake 8....unategemea nini
Kikosi cha msimu uliopita cha Mazembe hicho. Golini kipa ni yuleyule, Safu yote ya ulinzi ni walewale, viungo ni walewale isipokuwa baadhi wamewekwa benchi kupisha usajili mpya. Mabadiliko ni safu ya ushambuliaji na waliopo pale ni Mapro na si waliotolewa Don Bosco maana yupo Fofana na wenzie."Wamefungiwa kusajiri na pia waliwauza wale wachezaji wa kikosi cha kwanza kabla hawajafungiwa wengi unaowaona wamepandishwa kutoka Don bosco timu yao ya mazembe na pia pana kipa kutoka Nigeria anacheza kama striker maana hawana wafungaji na wapo kwenye kifungo wakina kinzubi walishauzwa na Adelepo.."
Ukiona mimi sina ww kichwa yako imejaa mlenda
Katika hicho kikosi wachezaji 7 wa kutegemewa wa first 11 hawapo;Kikosi cha msimu uliopita cha Mazembe hicho. Golini kipa ni yuleyule, Safu yote ya ulinzi ni walewale, viungo ni walewale isipokuwa baadhi wamewekwa benchi kupisha usajili mpya. Mabadiliko ni safu ya ushambuliaji na waliopo pale ni Mapro na si waliotolewa Don Bosco maana yupo Fofana na wenzie.View attachment 3194066
Acha uongo boss, wachezaji watano wa kikosi cha kwanza wameondoka msimu huu.Msimu uliopita waliishia hatua gani CCL?
Kama shida ni kufungiwa wamefungiwa muda mrefu na kikosi cha msimu uliopita ndo hikihiki
Wameuza wachezaji na wamepigwa ban na FIFA kusajili sasa hivi wanachukua toka academy yaoMsimu uliopita si ilicheza Nusu final ya CCL? Team ya hivyo unaiitaje mbovu!?
Walioondoka ni watatu tu na wengine wako benchi. Huyo Zemanga uliyemtaja amoja na Luzolo bado wapo na walicheza kwenye game yao na Yanga. Safu ya ulinzi (kipa na mabeki wake wanne) ipo vilevile, sasa hao wachezaji wako 7 ambao hawapo ni nani na nani!?Katika hicho kikosi wachezaji 7 wa kutegemewa wa first 11 hawapo;
1.OLADAPO
2.TRAORE
3.KINZUMBI
4.LINKONZA
5.BEYA
6.ZEMANGA
7.LUZOLO
Luzolo, Zemanga na Beya bado wapo. Kwenye orodha yako ni wanne tu ndo hawapo na kati ya hao ni watatu ndo wameuzwa na mmoja yuko benchi (sub) ambaye ni Beya.Katika hicho kikosi wachezaji 7 wa kutegemewa wa first 11 hawapo;
1.OLADAPO
2.TRAORE
3.KINZUMBI
4.LINKONZA
5.BEYA
6.ZEMANGA
7.LUZOLO
Haya maisha ya taabu Sana.Yanga Tushafuzu
Ili kurahisisha kazi TP Mazembe tuokoe huko Algeria, upate hata sare
Wameuza wachezaji wangapi? Nitajie kikosi cha msimu uliopita unitajie na cha msimu huu tuhesabu wachezaji walioondoka.Wameuza wachezaji na wamepigwa ban na FIFA kusajili sasa hivi wanachukua toka academy yao
Safari ya Uto imefika mwisho,hawana uwezo wa kushinda mechi zote 2 Ili wafuzu.Mechi imeanza na saizi tayari MC Algier ametangulia bao moja
FT: 1-1
Msimamo wa kundi
View attachment 3193693
KINZUMBI YUPO?Walioondoka ni watatu tu na wengine wako benchi. Huyo Zemanga uliyemtaja amoja na Luzolo bado wapo na walicheza kwenye game yao na Yanga. Safu ya ulinzi (kipa na mabeki wake wanne) ipo vilevile, sasa hao wachezaji wako 7 ambao hawapo ni nani na nani!?
SAFU YA ULINZI
1. Badara
2. Keita
3. Radjabu
4. Ntambwe
5. Luzolo
VIUNGO
6. Zemanga
Hao wote walikuwa sehemu ya kikosi cha kwanza cha msimu uliopita kilichotinga nusu final na wengine watatu wapo ila msimu huu hawapo kikosi cha kwanza so mpaka hapo unaona kuwa Mazembe ni ileile na wameboresha zaidi kikosi chao msimu huu, kwa kumleta Fofana kuziba nafasi ya Traore.
Usiwe unaandika bila data.
Yangaa angeipiga TP kule kwao tungekuwa pale juuMechi imeanza na saizi tayari MC Algier ametangulia bao moja
FT: 1-1
Msimamo wa kundi
View attachment 3193693
WAMEONDOKA WA 5.Wameuza wachezaji wangapi? Nitajie kikosi cha msimu uliopita unitajie na cha msimu huu tuhesabu wachezaji walioondoka.
Kwa taarifa yako wameondoka watatu tu na mbadala wao ulipatikana.
Ndo leo unamuona Fofana pale mbele badala ya Traore. Safu yao ya ulinzi iko vilevile ikiongozwa na kipa yuleyule. Viungo waliondoka wawili na mshambuliaji aliondoka mmoja tu...unataka kusema hilo ndo limeibadilisha Mazembe!? Mbona Yanga aliondoka Mayele, Lomalisa n.k lkn bado ubora wa team ukabaki palepale?
YANGA ALIONDOKA MCHEZAJI MMOJA TU MAYELE, LOMALISA HAKUONDOKA ALITEMWA HALAFU UTI WA MGONGO WA YANGA SIO MAYELE UTI WA MGONGO WA YANGA NI DIARA,BAKA,PACOME,AUCHO,MZINZE NA MAX.Wameuza wachezaji wangapi? Nitajie kikosi cha msimu uliopita unitajie na cha msimu huu tuhesabu wachezaji walioondoka.
Kwa taarifa yako wameondoka watatu tu na mbadala wao ulipatikana.
Ndo leo unamuona Fofana pale mbele badala ya Traore. Safu yao ya ulinzi iko vilevile ikiongozwa na kipa yuleyule. Viungo waliondoka wawili na mshambuliaji aliondoka mmoja tu...unataka kusema hilo ndo limeibadilisha Mazembe!? Mbona Yanga aliondoka Mayele, Lomalisa n.k lkn bado ubora wa team ukabaki palepale?
Hii team imejichokea sana. Jamaa walijichanganya sehemu.siku ile yanga tungewapiga hata 7 au 8. Basi tu. Mazembe yamekuwa mazembe kweli kweli.Kikosi cha msimu uliopita cha Mazembe hicho. Golini kipa ni yuleyule, Safu yote ya ulinzi ni walewale, viungo ni walewale isipokuwa baadhi wamewekwa benchi kupisha usajili mpya. Mabadiliko ni safu ya ushambuliaji na waliopo pale ni Mapro na si waliotolewa Don Bosco maana yupo Fofana na wenzie.View attachment 3194066
Walicheza shirikisho waliishia nusu mbona vitu vipo wazi mkuu kama unafatilia mpira wachezaji waliouzwa wapo mitandaoni shida nini..Msimu uliopita waliishia hatua gani CCL?
Kama shida ni kufungiwa wamefungiwa muda mrefu na kikosi cha msimu uliopita ndo hikihiki
Tunawapiga wote wawili.Safari ya Uto imefika mwisho,hawana uwezo wa kushinda mechi zote 2 Ili wafuzu.
Mashindano ya Kimataifa wawaache Simba
Kujifariji ni swala zuri piaTunawapiga wote wawili.
SawaKujifariji ni swala zuri pia