Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Wakiongezwa lingine kazi inaishia hapo.
Unamlaumu bure kipa wakati Moira umepita katikati ya miguu ya mabeki zaidi ya wanna...yeey angefanyeje?Golini kuna pazia yupo wapi salim?
Akipigwa red itapendeza sanaHii Kadi ya Mzamiru mapema hivi si rafiki.
dOya Humu Hamna Kipa Walah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ara mimi nuneanza kupata mashaka kama huyo jamaa ni golikipa kweli.Usikute ni mjomba wa mtu kaletwa kukua.Golini kuna pazia yupo wapi salim?
AaahaaaaaThiiiimbaa maviiiiiii hahhahha
Dah naumia rohoKipa nimekutetea lakini hapana.
AahaaaaaChama tena fundi wa Lusaka triple CView attachment 2768557
Hata penalty mpate tuSimba tumepata kona