FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

Imeisha.
Simba ni kubwa
Msimu huu kwa Simba mpaka sasa..
1. Ngao ya jamii tumuechukua
2. NBC PL tumeshinda zote
3. Makundi ya CL tumeingia..

Hoja ya tunacheza vibaya ni kukosa cha kusema.

Arsenal wanacheza the most sex football pale England lakini hawajawahi kushinda UEFA CL
 
Simba ni moja ya timu zenye wachezaji wazuri sana katika ukanda wetu wa Africa mashariki na kati, tatizo ninaloliona kwa simba japo mimi sina taaluma ya ukocha ila naona mbinu na falsasa za Robertinho zimekwama. Tunashuhudia timu ikicheza bila malengo, hakuna maelewano kwa wachezaji uwanjani na zaidi ya yote timu haina muunganiko kabsa. Ni vema viongozi wa simba wakachukua hatua za haraka kwanza kwa kumfuta kazi kocha Robertinho kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.
Asifukuzwe kwanza mpaka amalize mechi za CAF CL.
 
Huko South na ligi nyingine kubwa hakuna mambo ya likizo, miaka nenda rudi tunashiriki ila bado tunayaona haya mashindano kama deal sana kiasi cha kuzipa team zinazoshiriki muda wa wiki mbili.

Tuuite ushamba tu.
 
Back
Top Bottom