Excellent.
Hoja ni kwamba mmojawapo ameshindwa kupata ushindi kwenye mechi yoyote ile, ila kaingia makundi kwasababu ya the so called 'kanuni' .... alafu kuna mwingine kashinda home and away, naye kaingia makundi.
Mmoja kanuni ndo' zimembeba kwa maana uwanjani hakukuwa na any spotted difference, hamna aliyeshinda wala aliyeshindwa... ni kanuni za ujima tu ... kanuni ambazo ulimwengu wa kwanza waliziona ni upuuzi wakaziondoa ...alafu sasa kuna mwingine ambaye kafuzu kwa kuonyesha uwezo wake nyumbani na ugenini ... hamna aliposhindwa mchezo wowote ule ... alafu ubaya zaidi huyo aloshinda ni yule aloonekana ni 'hamna lolote' kwenye international games ... sasa what went wrong kwa huyu mtaalamu wetu mkufunzi kiasi cha ku-rely on written rules apart from what is seen on the field?