FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

Huyo kachanganyikiwa haamini macho yake...anashangaa kanuni wakati ndo kwanza mambo yameanza asije akashangaa akabebwa na kanuni na yy huku akimshukuru Mungu....hahahahha
Kama lini Yanga kabebwa na kanuni? ... wanaume wanapambana uwanjani na sio kwenye meza ya karani.
 
Kocha wa simba nilimuona hamnazp aliposhangilia ule mchezo simba ya nyanga Tanga.

Kama mtaalam angezema licha ya kushinda tumecheza vubaya tutaboresha zaidi. YEYE ANASHANGILIA KAMA. MSHABIKI HAHAHAH
Ukitimiza malengo yako umecheza vizuri. Acha ushamba ndugu
 
Excellent.

Hoja ni kwamba mmojawapo ameshindwa kupata ushindi kwenye mechi yoyote ile, ila kaingia makundi kwasababu ya the so called 'kanuni' .... alafu kuna mwingine kashinda home and away, naye kaingia makundi.

Mmoja kanuni ndo' zimembeba kwa maana uwanjani hakukuwa na any spotted difference, hamna aliyeshinda wala aliyeshindwa... ni kanuni za ujima tu ... kanuni ambazo ulimwengu wa kwanza waliziona ni upuuzi wakaziondoa ...alafu sasa kuna mwingine ambaye kafuzu kwa kuonyesha uwezo wake nyumbani na ugenini ... hamna aliposhindwa mchezo wowote ule ... alafu ubaya zaidi huyo aloshinda ni yule aloonekana ni 'hamna lolote' kwenye international games ... sasa what went wrong kwa huyu mtaalamu wetu mkufunzi kiasi cha ku-rely on written rules apart from what is seen on the field?
Mkuu unataka kusema FIFA NA CAF ni wajinga hadi waweke video hivyo?
Pawer Dinamo ni wajinga kuruhusu timu ngeni kupiga bao mbili kwenye ardhi ya nyumbani.
Jiulize tu kama matokeo yangekuwa 0-0 ungekuja na argument ya namna hii bosi!!
 
Vile makolo wameingia makundi!
1304040776.jpg
 
Ukiulizwa umefika makundi umeshinda mechi ipi, una jibu? Au utaanza insha ya maneno mia na ishirini?
Sio makundi tu, hata Ngao ya Jamii sikushinda hata mechi moja lakini TFF ya Karia ikanipa Ngao. Tena huko ndio kulikuwa na upendeleo balaa, maana hata goli sikupata lolote, ila nikapendelewa ushindi. TFF na CAF wachunguzwe, huenda kuna rushwa wanapewa na mnyama
 
Hoja ni kwamba mmojawapo ameshindwa kupata ushindi kwenye mechi yoyote ile, ila kaingia makundi kwasababu ya the so called 'kanuni' .... alafu kuna mwingine kashinda home and away, naye kaingia makundi.
Labda ni upeo mdogo wa uelewa wako kuhusu kanuni. Kwa ufupi ni kwamba aliyepata aggregate ya ushindi wa mabao 3-0 tena nyumbani na ugenini, naye pia anaingia katika hatua ya makundi kwa mujibu wa kanuni
 
Back
Top Bottom