Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunachofahamu simba iko makundi hayo mengine ni yakokwa kanuni au sio? ... kama unabisha sema mechi uloshinda mpaka ukaingia hapo group stage? [emoji23][emoji23] kutoka kuingia kwa ushindi mpaka kanuni? What went wrong broda?
Kuna ambaye amesema haipo? ... ila kuna ambaye anakataa au kuumia kusikia kwamba Simba kilichomfikisha group ni kanuni, hajashinda mechi yoyote ile, si kwake wala ugenini. [emoji23]Tunachofahamu simba iko makundi hayo mengine ni yako
We acha tu huwa nakua na ushabiki ambao siuchukuliagi silius ila leo baada ya kupigwa goli,huku nikiangalia mtani Kalinga makundi automatically nikajiona kama mtu nilieletewa Habari ya msiba so sad indeed,kama ni makesa ya kocha aambiwe aisee na kama kuna pahala hapapo Sawa kwa namna yoyote ile uongozi uchukue hatua za haraka mana matokeo yangebaki kabla ya sisi kusawazisha nakuhakikishia kuna baadhi yetu wangeaga Dunia.Kuna mwamba mmoja alikua anaangalizia kadimama anachunguliaa na nafasi za kukaa zilikua kibaoo😁😁😁😁😂!
Heshimu kanuni zilizowekwa ,hata FA mechi ya fainali kutokuwa na extra time na kuingia matuta baada ya mechi ikiisha sare ni kanuni..hiyo kanuni ya away goal si wangeshinda nyingi zaidi hapa kama wanao uwezo,timu zote zinatumia hizo kanuni ukiotewa we ndo kibondeKuna ambaye amesema haipo? ... ila kuna ambaye anakataa au kuumia kusikia kwamba Simba kilichomfikisha group ni kanuni, hajashinda mechi yoyote ile, si kwake wala ugenini. [emoji23]
The so called expert of international games, what went wrong nowadays? [emoji38]
Hoja yako nin hapa kamandaAl merreikh katolewa kwasababu kafungwa home (huko alipopachagua yeye) na away (hapa Azam complex) ... yani kapigwa kotekote .. anatoka hana malalamiko ... wewe umefikaje group stage? ... umeshinda wapi??
Umefika hapa only kwasbb ya kanuni za ujima, nothing else.
Huyo kachanganyikiwa haamini macho yake...anashangaa kanuni wakati ndo kwanza mambo yameanza asije akashangaa akabebwa na kanuni na yy huku akimshukuru Mungu....hahahahhaHoja yako nin hapa kamanda
Ilikua lazima...yani ukiona hivyo ujue basi asingejifunga lingefungwa tuuu..huwezi badilisha hatma..Mmenusurika sana, bora mmesaidiwa kufunga, sijui ingekuwaje mrembo
Inasikitisha sanqHuyo kachanganyikiwa haamini macho yake...anashangaa kanuni wakati ndo kwanza mambo yameanza asije akashangaa akabebwa na kanuni na yy huku akimshukuru Mungu....hahahahha
😂😂😂Fanya hivyHahahah itabidi nikutumie barua kwa njia ya posta
Sio wewe tu mkuu Nadhani ule muda karibia mashabiki walio wengi wa mnyama mlikua tumbo jotroo 😂😂!We acha tu huwa nakua na ushabiki ambao siuchukuliagi silius ila leo baada ya kupigwa goli,huku nikiangalia mtani Kalinga makundi automatically nikajiona kama mtu nilieletewa Habari ya msiba so sad indeed,kama ni makesa ya kocha aambiwe aisee na kama kuna pahala hapapo Sawa kwa namna yoyote ile uongozi uchukue hatua za haraka mana matokeo yangebaki kabla ya sisi kusawazisha nakuhakikishia kuna baadhi yetu wangeaga Dunia.
Asante saaaana mtaniSio wewe tu mkuu Nadhani ule muda karibia mashabiki walio wengi wa mnyama mlikua tumbo jotroo 😂😂!
Hongereni tena na tenaaaa trend yenu ya kuingia makundi japo hii ndohivo inaendelea kuwa gadooo🤠🤠 !
Nipe sanduku la posta s.l.p ......😂😂😂Fanya hivy
AminaYeah!...hili linawezekana kabisa.
Excellent.Hoja yako nin hapa kamanda