FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

Wapendwa wangu wa msimbaziiii mpooooooooooooo....tukutane fainali
Msipuuze mdomo wangu...
 
Moja ya mkakati ni kuchuku makomne yote ya ndani.

Na tayari moja lipo kabatini linaita wenzake
Na ndo hilo mtakaloishia, hamna kombe lolote mnaloweza kushinda maana kanuni hazina msaada tena baada ya hapa... [emoji23][emoji23]
 
Zingatia point mzee.


Wewe umemtoa mpinzani kwa kushinda game gani?? Wapi?? Maana kote umetoa sare.

Wewe umemtoa mshindani kwasababu ya kanuni tu. Kanuni za zama za ujima. Kama ni tofauti, leta hapa game uloshinda dhidi ya huyo mpinzani. Mbona it is quite simple.
Wewe ni Nikuulize el mereck uliye mtoa ni TEAM ya nchi ipi? kwanini hakucheza nchini kwake ?nani kawaruhusu ? Ukipata majibu yamejibu swali lako.
 
Ni lini yanga mbovu iliwahi kuingia makundi? Simba hata ikiwa mbovu inacheza makundi
kwa kanuni au sio? ... kama unabisha sema mechi uloshinda mpaka ukaingia hapo group stage? [emoji23][emoji23] kutoka kuingia kwa ushindi mpaka kanuni? What went wrong broda?
 
Back
Top Bottom