FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

Kikanuni ndio nini?

We unafikiri Simba inacheza tu mpira bils mipango?

Tunafunga mziki kulingana na ukubwa wa shuhuli.
Screenshot_20231001-183531_WhatsApp.jpg
 
Utopolo acheni Wivu..!
Kwani hizi Kanuni ni mpya ee?

Watu ndo Washatinga Makundi CAF CL..!

Hivi tunavyoongea Wanaenda Kujiandaa na AFRICAN FOOTBALL LEAGUE....!
Shida ni watu hawataki kukubali kwamba kilichowafikisha group stage ni kanuni and not otherwise... [emoji16]
 
Unafahamu maana ya context? Tunaongelea CAF, wewe unaleta mambo ya NBC unaposhinda kwa ndondokela.

Team yangu mara ya mwisho imeshinda home and away kuingia makundi. Yako vipi? Imeshnda hata game moja? [emoji2] ukijibu nakufa hapa..
Aliyekwambia hatua hii wanaangalia team imeshinda ni nani ?Jifunze football hii ni hatua ya mtoano kinachotakiwa umtoe mpinzani ,kushinda ni makundi ,ulipo shinda ulivuna point ngapi? Na akili yako inakwambia EL MERECK alikuwa home Rwanda? Mpaka ujivunie home and away ?
 
Aliyekwambia hatua hii wanaangalia team imeshinda ni nani ?Jifunze football hii ni hatua ya mtoano kinachotakiwa umtoe mpinzani ,kushinda ni makundi .
Zingatia point mzee.


Wewe umemtoa mpinzani kwa kushinda game gani?? Wapi?? Maana kote umetoa sare.

Wewe umemtoa mshindani kwasababu ya kanuni tu. Kanuni za zama za ujima. Kama ni tofauti, leta hapa game uloshinda dhidi ya huyo mpinzani. Mbona it is quite simple.
 
Ukiulizwa umefika makundi umeshinda mechi ipi, una jibu? Au utaanza insha ya maneno mia na ishirini?
Utakufa kwa presha ya ushabiki. Timu zikishaingia makundi, huwa zinaanza moja, aliyetolewa hana nafasi ya kujadiliwa ametolewaje
 
Coach apewe full mandate. Mgunda should never be involved in any manner with the administration of the club. Hakuna haja ya kuonyeana aibu kwenye hili. Bad influence to players.
 
Back
Top Bottom