SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Kuna timu ya robo hapa? [emoji3]Miye mishawaambia kuanzia Leo atakayevuka robo kati yetu ndo kidume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna timu ya robo hapa? [emoji3]Miye mishawaambia kuanzia Leo atakayevuka robo kati yetu ndo kidume
Bora atimuliwe tujute, kuliko kuendelea kumuamini bila matumaini yoyote.Kinachotokea ni uchawi wa Mgunda tu, anataka timu.
Robertinho ni kocha mzuri sana. Akitimuliwa mtajuta.
Ahaaahaaa,naona wanalikwepa Hilo swalaKuna timu ya robo hapa? [emoji3]
MO tapeli View attachment 2768686
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ukute Simba hii wala sio mbovu ni vile Tu mnailinganishaga na Yanga.
Nielekeze pm za saivi mnafunguaje,maana kwangu bila bilaHaswaaa
Ndiyo kibwagizo kwa sasa,Simba anaingiaje hapa mkuu
Kikanuni ndio nini?
We unafikiri Simba inacheza tu mpira bils mipango?
Tunafunga mziki kulingana na ukubwa wa shuhuli.
Shida ni watu hawataki kukubali kwamba kilichowafikisha group stage ni kanuni and not otherwise... [emoji16]Utopolo acheni Wivu..!
Kwani hizi Kanuni ni mpya ee?
Watu ndo Washatinga Makundi CAF CL..!
Hivi tunavyoongea Wanaenda Kujiandaa na AFRICAN FOOTBALL LEAGUE....!
Aliyekwambia hatua hii wanaangalia team imeshinda ni nani ?Jifunze football hii ni hatua ya mtoano kinachotakiwa umtoe mpinzani ,kushinda ni makundi ,ulipo shinda ulivuna point ngapi? Na akili yako inakwambia EL MERECK alikuwa home Rwanda? Mpaka ujivunie home and away ?Unafahamu maana ya context? Tunaongelea CAF, wewe unaleta mambo ya NBC unaposhinda kwa ndondokela.
Team yangu mara ya mwisho imeshinda home and away kuingia makundi. Yako vipi? Imeshnda hata game moja? [emoji2] ukijibu nakufa hapa..
hata me sijui namna ya kufungua nimekua notificated na wengi ila ndo hivyo naishia kusoma namba tuNielekeze pm za saivi mnafunguaje,maana kwangu bila bila
Zingatia point mzee.Aliyekwambia hatua hii wanaangalia team imeshinda ni nani ?Jifunze football hii ni hatua ya mtoano kinachotakiwa umtoe mpinzani ,kushinda ni makundi .
Utakufa kwa presha ya ushabiki. Timu zikishaingia makundi, huwa zinaanza moja, aliyetolewa hana nafasi ya kujadiliwa ametolewajeUkiulizwa umefika makundi umeshinda mechi ipi, una jibu? Au utaanza insha ya maneno mia na ishirini?
Mimi naon ujumbe Tu unaingia hpo kweny kibox nikifungua unafunguka Tu SASA sijui mwaya🙆🙆Nielekeze pm za saivi mnafunguaje,maana kwangu bila bila
Hapo umesemaCha muhimu Simba amefuzu. Akarekebishe makosa na wachezaji pamoja na kocha waache ujinga.