FT: CAFCL | Yanga SC 6-0 Vital'O | (Agg: 10-0)Preliminary Stage 2nd Leg | Azam Complex | 24.08.2024

FT: CAFCL | Yanga SC 6-0 Vital'O | (Agg: 10-0)Preliminary Stage 2nd Leg | Azam Complex | 24.08.2024

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”°

πŸ† #CAFCL
⚽️ Young Africans SCπŸ†šVital’O FC
πŸ“† 24.08.2024
🏟 Azam Complex
πŸ•– 19:00

#TheClubAboveAll
#DaimaMbeleNyumaMwiko

20240824_122413.jpg
Kikosi kinachoanza dhidi ya Vital’O FC #CAFCL

#GoliLaMama
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko

20240824_182934.jpg
Mpira umeanza
Dakika ya 1
0-0

Dakika ya 2
Kibabage anachezewa madhambi chama anapiga Free kick anakosa Yanga SC wanapata Kona ya kwanza

Dakika ya 3
Yanga SC wanapata Kona ya pili

Dakika ya 6
Yanga SC wanapata Kona ya 3 wanakosa goli la wazi mzize kapaisha

Dakika ya 10
0-0

Dakika 11
Yanga wanafanya shambulizi mchezaji wa Vital'O anadaka mpira anapewa kadi nyekundu na amesababisha penati

Dakika ya 12
Goooooal pacome

Dakika ya 15
Yanga 1-0 Vital'O

Dakika ya 20
Yanga 1-0 Vital'O

Dakika ya 26
Yanga SC wanafanya shambulizi

Dakika ya 28
Duke abuya anafanyiwa madhambi

Dakika ya 36
Yanga 1-0 Vital'O

Dakika 39
Yanga wanapata Kona mwamnyeto anakosa goli la wazi

Dakika ya 45+2
Mzize kachezewa madhambi
Chama anapiga Free kick anakosa hapa

𝐇𝐀𝐋𝐅 π“πˆπŒπ„β±οΈβ€™| #CAFCL
Young Africans SC 1-0 Vital’O FC

20240824_195943.jpg

Kipindi cha pili kimeanza
Dakika ya 45
Yanga 1-0 Vital'O

Dakika ya 49
Mzizeeeeee⚽️

Dakika ya 51
Chamaaaaaaa anapiga faulo kamba goooal

Dakika ya 61
Yanga wanafanya mabadiliko anatoka duke anaingia mudathir
Anatoka musonda anaingia max

Dakika ya 64
Aziz k anafanyiwa madhambi anapiga Free kick ana Kosa hapa

Dakika ya 66
Mabadiliko anatoka mzize anaingia dube

Dakika ya 68
Pacome anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 70
Young Africans SC 3-0 Vital’O FC

Dakika ya 71
Dubeeeeee goal chuma cha 4

Dakika ya 76
Mabadiliko anatoka pacome anaingia sure boy

Dakika ya 79
Goooooal Aziz k 😎

Dakika ya 85
YNG 5-0 VTL

Dakika ya 86
Mudaaaaathir kambaa chuma cha 6 😎

Dakika ya 90 +3
𝐅𝐔𝐋𝐋 π“πˆπŒπ„β±οΈ| #CAFCL
Young Africans SC 6-0 Vital’O FC
20240824_205636.jpg
 
π”π™πˆππƒπ”π™πˆ 𝐖𝐀 πŠπˆπ‡πˆπ’π“πŽπ‘πˆπ€πŸŒ

Ni Jumamosi Azam Complex, Chamazi
siyo siku ya kukosa MwananchiπŸ‘ŠπŸ½ tukutane baadae Mwananchi. View attachment 3077619
Wananchi Hadi tuje kuua watu uwanjani ndo wataacha kuleta timu uwanjani🀣🀣
 
Vital,O ni timu iliyotoka kwenye nchi iliyoadhirika na vita na mara kwa mara ile nchi haijatulia,hivyo wale wachezaji na uongozi wanamadhara ya kisaikologia kama msongo wa mawazo(stress),maumivu ya moyo,sonona,wasiwasi, n.k ndio maana hata hakuweza kwenda kucheza kwao kwasababu ya kuhofia usalama...
Yanga wanatumia hii advantage (faida)kuwaadhibu wenzao...na timu ambayo inatoka kwenye mazingira kama haya timu yeyote kutoka Tanzania(hata lipuli ya iringa) ingeweza kuibuka mshindi.

Pia kutoka na mazingira kama haya Vital'O wanakosa support ya Washabiki wao,hawana uzoefu na viwanja na hali ya hewa ya Tanzania lazina yanga ingeshinda tu.

Nb.Nasikia viongozi wa yanga huwa wanaenda kuhxnga CUF ili wapangie timu zinazokabiliwa na mazingira kama haya.Eng.Hersi pia anatumia ile nafasi yake ya uongozi kusukuma au kusaidi swala kama hili.
 
Vital,O ni timu iliyotoka kwenye nchi iliyoadhirika na vita na mara kwa mara ile nchi haijatulia,hivyo wale wachezaji na uongozi wanamadhara ya kisaikologia kama msongo wa mawazo(stress)...
Sijawahi kuona NB ya kijinga hivi yaani short summary inakuwa hearby say za kutoka Kwa walalahoi? Next time ukiweka NB weka short summary ya vitu ulivyonavyo uhakika na unaweza ukadhibitisha.
 
Bora Vital O, ilipigwa 4, kuna timu ya Mudi mapilau ya hapa inajiita kubwa ilikula chuma 5.
Vital,O ni timu iliyotoka kwenye nchi iliyoadhirika na vita na mara kwa mara ile nchi haijatulia,hivyo wale wachezaji na uongozi wanamadhara ya kisaikologia kama msongo wa mawazo(stress),maumivu ya moyo,sonona,wasiwasi, n.k ndio maana hata hakuweza kwenda kucheza kwao kwasababu ya kuhofia usalama...
Yanga wanatumia hii advantage (faida)kuwaadhibu wenzao...na timu ambayo inatoka kwenye mazingira kama haya timu yeyote kutoka Tanzania(hata lipuli ya iringa) ingeweza kuibuka mshindi.

Pia kutoka na mazingira kama haya Vital'O wanakosa support ya Washabiki wao,hawana uzoefu na viwanja na hali ya hewa ya Tanzania lazina yanga ingeshinda tu.

Nb.Nasikia viongozi wa yanga huwa wanaenda kuhxnga CUF ili wapangie timu zinazokabiliwa na mamazingira kama haya.Eng.Hersi pia anatumia ile nafasi yake ya uongozi kusukuma au kusaidi swala kama hili.
 
π”π™πˆππƒπ”π™πˆ 𝐖𝐀 πŠπˆπ‡πˆπ’π“πŽπ‘πˆπ€πŸŒ

Ni Jumamosi Azam Complex, Chamazi
siyo siku ya kukosa MwananchiπŸ‘ŠπŸ½ tukutane baadae Mwananchi. View attachment 3077619
#Daimambelenyumamwiko#.
 
π”π™πˆππƒπ”π™πˆ 𝐖𝐀 πŠπˆπ‡πˆπ’π“πŽπ‘πˆπ€πŸŒ

Ni Jumamosi Azam Complex, Chamazi
siyo siku ya kukosa MwananchiπŸ‘ŠπŸ½ tukutane baadae Mwananchi. View attachment 3077619
Rekebisha Title.
Hii ya leo Ni preliminary Stage, 2nd leg.
Ngoma inapigiwa kwa Mkapa!!
 
π”π™πˆππƒπ”π™πˆ 𝐖𝐀 πŠπˆπ‡πˆπ’π“πŽπ‘πˆπ€[emoji288]

Ni Jumamosi Azam Complex, Chamazi
siyo siku ya kukosa Mwananchi[emoji1420] tukutane baadae Mwananchi

20240824_081759.jpg
 
Back
Top Bottom