MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Kila la kheri chama langu Young africans sc πππ
#DaimaMbele π #NyumaMwiko π
#DaimaMbele π #NyumaMwiko π
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kusikia mkuuVital,O ni timu iliyotoka kwenye nchi iliyoadhirika na vita na mara kwa mara ile nchi haijatulia,hivyo wale wachezaji na uongozi wanamadhara ya kisaikologia kama msongo wa mawazo(stress),maumivu ya moyo,sonona,wasiwasi, n.k ndio maana hata hakuweza kwenda kucheza kwao kwasababu ya kuhofia usalama...
Yanga wanatumia hii advantage (faida)kuwaadhibu wenzao...na timu ambayo inatoka kwenye mazingira kama haya timu yeyote kutoka Tanzania(hata lipuli ya iringa) ingeweza kuibuka mshindi.
Pia kutoka na mazingira kama haya Vital'O wanakosa support ya Washabiki wao,hawana uzoefu na viwanja na hali ya hewa ya Tanzania lazina yanga ingeshinda tu.
Nb.Nasikia viongozi wa yanga huwa wanaenda kuhxnga CUF ili wapangie timu zinazokabiliwa na mamazingira kama haya.Eng.Hersi pia anatumia ile nafasi yake ya uongozi kusukuma au kusaidi swala kama hili.
Hawana viwanja vyenye hadhi ya CAFCLVital,O ni timu iliyotoka kwenye nchi iliyoadhirika na vita na mara kwa mara ile nchi haijatulia,hivyo wale wachezaji na uongozi wanamadhara ya kisaikologia kama msongo wa mawazo(stress),maumivu ya moyo,sonona,wasiwasi, n.k ndio maana hata hakuweza kwenda kucheza kwao kwasababu ya kuhofia usalama...
Yanga wanatumia hii advantage (faida)kuwaadhibu wenzao...na timu ambayo inatoka kwenye mazingira kama haya timu yeyote kutoka Tanzania(hata lipuli ya iringa) ingeweza kuibuka mshindi.
Pia kutoka na mazingira kama haya Vital'O wanakosa support ya Washabiki wao,hawana uzoefu na viwanja na hali ya hewa ya Tanzania lazina yanga ingeshinda tu.
Nb.Nasikia viongozi wa yanga huwa wanaenda kuhxnga CUF ili wapangie timu zinazokabiliwa na mamazingira kama haya.Eng.Hersi pia anatumia ile nafasi yake ya uongozi kusukuma au kusaidi swala kama hili.
Amka bana ni chamazi complex tena saa 1, kwa mkapa wanakarabatiGemu ni Kwa Mkapa wewe swala la Chamazi umetoa Wapi?
Mashabiki walala hoi.Kila la kheri chama langu Young africans sc πππ
#DaimaMbele π #NyumaMwiko π
π€£π€£ kwa kweeli.Gazeti lote hili la nini? Kunywa maji ukalale Mkuu.
Mambo yetu tuachie wenyewe.
Kesho wanetu watakuwa wanateseka Huko KigaliAzam lini
Aliye juu unamfuata aliko, (mtaka cha uvunguni iko inua Matanda), pia simba mwenda pole iko gonjwa kama bado hujaelewa niambieMm yanga damu
Ila kwann al ahaly, mamelod HAWACHEZI au Sisi utopolo tunaanzia mchangani π€£πΈπΈ
Ni nani aliyekudanyanya kwamba sababu ya. Mechi kutocheza kwao ni Kuhofia usakama?Vital,O ni timu iliyotoka kwenye nchi iliyoadhirika na vita na mara kwa mara ile nchi haijatulia,hivyo wale wachezaji na uongozi wanamadhara ya kisaikologia kama msongo wa mawazo(stress),maumivu ya moyo,sonona,wasiwasi, n.k ndio maana hata hakuweza kwenda kucheza kwao kwasababu ya kuhofia usalama...
Advantage gani wanayoitumia Yanga? Kwa taarifa yako, Burundi hakuna vita. So usisingizie kwamba sababu ya Vital kutocheza vizuri ni vita iliyopo nchini mwao. Congo DRC kuna vita lakini wachezaji wa Congo ndiyo wametawala soka la Yanzania na Afrika Mashariki, wao jawaipati hiyo misingo?Yanga wanatumia hii advantage (faida)kuwaadhibu wenzao...na timu ambayo inatoka kwenye mazingira kama haya timu yeyote kutoka Tanzania(hata lipuli ya iringa) ingeweza kuibuka mshindi.
Support gani wanayoikosa vitalβO wakati Simba mpo nao bega kwa bega na hata warundi wa hapa nchini ni wengi tu na wanai supportPia kutoka na mazingira kama haya Vital'O wanakosa support ya Washabiki wao,hawana uzoefu na viwanja na hali ya hewa ya Tanzania lazina yanga ingeshinda tu.
Endelea kusikia, baada ya muda utaanza kuisikilizia, baada ya hapo unaanza kujitafuna lipaNb.Nasikia viongozi wa yanga huwa wanaenda kuhxnga CUF ili wapangie timu zinazokabiliwa na mamazingira kama haya.Eng.Hersi pia anatumia ile nafasi yake ya uongozi kusukuma au kusaidi swala kama hili.
Wanacheza leo pia.Azam lini
Azam ni leo leo saa moja usikuKesho wanetu watakuwa wanateseka Huko Kigali
Game ni muda mmoja.Kesho wanetu watakuwa wanateseka Huko Kigali
Tayari kakaRekebisha Title.
Hii ya leo Ni preliminary Stage, 2nd leg.
Ngoma inapigiwa kwa Mkapa!!
Ni Leo ππKesho wanetu watakuwa wanateseka Huko Kigali
Ni Azam complex mkuu sio kwa MkapaRekebisha Title.
Hii ya leo Ni preliminary Stage, 2nd leg.
Ngoma inapigiwa kwa Mkapa!!