FT: CAFCL | Yanga SC 6-0 Vital'O | (Agg: 10-0)Preliminary Stage 2nd Leg | Azam Complex | 24.08.2024

FT: CAFCL | Yanga SC 6-0 Vital'O | (Agg: 10-0)Preliminary Stage 2nd Leg | Azam Complex | 24.08.2024

Maisha ya soka ndivyo yalivyo unadhani kipindi aly Ahly /kaizer chiefs /wydad na timu zingine wanatufunga zile 5 5 hapa walikuaga wanatuchukuliaje?? Walikua wanajua wanakuja kutukanyaga waendelee na safari zao hatukua kitu kabisa! Ila tazama sasa sisi ndo tunawakanyaga watu watu wakija kwa mkapa huwa wanaogopa wanajua challenge accepted....
Ndo raha ya kukua mkuu enjoy
HI MICHUANO IMEPOTEZA LADHA KABISA
 
Vital,O ni timu iliyotoka kwenye nchi iliyoadhirika na vita na mara kwa mara ile nchi haijatulia,hivyo wale wachezaji na uongozi wanamadhara ya kisaikologia kama msongo wa mawazo(stress),maumivu ya moyo,sonona,wasiwasi, n.k ndio maana hata hakuweza kwenda kucheza kwao kwasababu ya kuhofia usalama...
Yanga wanatumia hii advantage (faida)kuwaadhibu wenzao...na timu ambayo inatoka kwenye mazingira kama haya timu yeyote kutoka Tanzania(hata lipuli ya iringa) ingeweza kuibuka mshindi.

Pia kutoka na mazingira kama haya Vital'O wanakosa support ya Washabiki wao,hawana uzoefu na viwanja na hali ya hewa ya Tanzania lazina yanga ingeshinda tu.

Nb.Nasikia viongozi wa yanga huwa wanaenda kuhxnga CUF ili wapangie timu zinazokabiliwa na mazingira kama haya.Eng.Hersi pia anatumia ile nafasi yake ya uongozi kusukuma au kusaidi swala kama hili.
Muone huyu nae.
 
Back
Top Bottom