FT: CAFCL | Yanga SC 6-0 Vital'O | (Agg: 10-0)Preliminary Stage 2nd Leg | Azam Complex | 24.08.2024

Endelea kusikia mkuu
 
Hawana viwanja vyenye hadhi ya CAFCL
 
Ni nani aliyekudanyanya kwamba sababu ya. Mechi kutocheza kwao ni Kuhofia usakama?
Yanga wanatumia hii advantage (faida)kuwaadhibu wenzao...na timu ambayo inatoka kwenye mazingira kama haya timu yeyote kutoka Tanzania(hata lipuli ya iringa) ingeweza kuibuka mshindi.
Advantage gani wanayoitumia Yanga? Kwa taarifa yako, Burundi hakuna vita. So usisingizie kwamba sababu ya Vital kutocheza vizuri ni vita iliyopo nchini mwao. Congo DRC kuna vita lakini wachezaji wa Congo ndiyo wametawala soka la Yanzania na Afrika Mashariki, wao jawaipati hiyo misingo?
Pia kutoka na mazingira kama haya Vital'O wanakosa support ya Washabiki wao,hawana uzoefu na viwanja na hali ya hewa ya Tanzania lazina yanga ingeshinda tu.
Support gani wanayoikosa vital’O wakati Simba mpo nao bega kwa bega na hata warundi wa hapa nchini ni wengi tu na wanai support
Nb.Nasikia viongozi wa yanga huwa wanaenda kuhxnga CUF ili wapangie timu zinazokabiliwa na mamazingira kama haya.Eng.Hersi pia anatumia ile nafasi yake ya uongozi kusukuma au kusaidi swala kama hili.
Endelea kusikia, baada ya muda utaanza kuisikilizia, baada ya hapo unaanza kujitafuna lipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…