Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Si mnafungaga goli 5Kwahiyo tukusaidiaje?
Umekariri!!Si mnafungaga goli 5
Kutoka kufuanga goli 5 hadi ushindi wa mbinde ndio mlipofikia wataniUmekariri!!
Kwahiyo unafurahi?Kutoka 5 hadi ushindi wa mbinde ndio mlipofikia watani
Ngoma ya watoto haikeshi
Subiri zamu yenu ifike. Na ukumbuke safari hii hakuna ushindi wa penati.Mbona Utopolo wanacheza kawaida sana. Hayo magoli huwa wanafungaje?
Ni kawaida kuziotea baadhi ya timu mwanzoni mwa msimu maana nyingi hizi ndogo zinakuwa hazina maandalizi. Kadiri ligi inavyoenda, kumfunga mtu goli Tano plus hubaki mara moja moja kwa miambaSi mnafungaga goli 5
Izi mechi kitu cha kwanza ni kuvuka hatua hii kama itatokea umeshinda moja au tano lakini kinachohitajika ni kuvuka.Kutoka 5 hadi ushindi wa mbinde ndio mlipofikia watani
Simba nguvu mojaNi kawaida kuziotea baadhi ya timu mwanzoni mwa msimu maana nyingi hizi ndogo zinakuwa hazina maandalizi. Kadiri ligi inavyoenda, kumfunga mtu goli Tano plus hubaki mara moja moja kwa miamba
Mmeshaanza kujiteteaIzi mechi kitu cha kwanza ni kuvuka hatua hii kama itatokea umeshinda moja au tano lakini kinachohitajika ni kuvuka.
Yanga inacheza kikubwa.
Nawasikitikia
Waarabu wamepaki basi as if wao ndiyo wapo mbele kwa ushindi wa goli 2 bila!! Na wakaijaribu tu kufunguka, wanapigwa.Al Merreikh wako compact sana. Kuwa fungua inaitaji kiungo mnyumbulifu hapo kama pacome, vinginevyo naiona suluhu hapa
Mkuu tusijifiche kwenye hii hoja, hao mashabiki waliojazana hapo chamazi hawajafata suluhu hapo au kufuzu, wanaitaji timu ipate ushindi. Kocha ana kazi yakufanya kipindi cha piliIzi mechi kitu cha kwanza ni kuvuka hatua hii kama itatokea umeshinda moja au tano lakini kinachohitajika ni kuvuka.
Yanga inacheza kikubwa.