FT: CAFCL: Young Africans SC 1-0 Al-Merrikh SC | Azam Complex | 30/09/2023

FT: CAFCL: Young Africans SC 1-0 Al-Merrikh SC | Azam Complex | 30/09/2023

Izi mechi kitu cha kwanza ni kuvuka hatua hii kama itatokea umeshinda moja au tano lakini kinachohitajika ni kuvuka.
Yanga inacheza kikubwa.
Mkuu tusijifiche kwenye hii hoja, hao mashabiki waliojazana hapo chamazi hawajafata suluhu hapo au kufuzu, wanaitaji timu ipate ushindi. Kocha ana kazi yakufanya kipindi cha pili
 
Back
Top Bottom