FT: CAFCL: Young Africans SC 1-0 Al-Merrikh SC | Azam Complex | 30/09/2023

Aziz [emoji2785][emoji2785][emoji2785] inagonga mwamba[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Naomba kujuzwa tafadhali nini kitatokea kwa yanga kama matokeo yatakua haya
Y 0, AM 1
Y 1, AM 2
Y0, Am 0
 
Nenda na bar,uwaambie hivi mnashindwa kununua bia mnywee makwenu?
Watakujibu utakaowakuta huko.
Walevi wa alcohol wameingiaje hapa? Hivi hujui kuwa huko bar huwa wanateketeza bia hadi za milioni?

Hao wa buku kuona pambano wakiwa kibanda umiza ndio nawauliza wanakosaje laki 5 ya kununua flat screen watazame boli wakiwa home
 
Wengi wanauata ushabiki,na wengi wana hizo flat screen.Just imagine,kuna flat screen hadi zile za SUNDAR za bei rahisi,unadhani wote waliomo mle,hawana?
Kampani tu... na yale makelele ndo watu wanapenda.
 
Wabongo bhana 😂
 
Mbona kumepoa hivi??.nyie msiwachoshe hao watu wa sudan wamekata tamaa na maisha...fungeni haraka waende kupumzika...msubiri mpangiwe kundi la mamelody...
 
Yanga tunasubiri kupangiwa tu... Simba ndo kimbembe hiyo kesho...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…