mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Aziz [emoji2785][emoji2785][emoji2785] inagonga mwamba[emoji119][emoji119][emoji119]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magoli yako njiani.Aziz [emoji2785][emoji2785][emoji2785] inagonga mwamba[emoji119][emoji119][emoji119]
katika ulimwengu wa kiroho, hilo ni goli moja tayari, kwa hiyo sangoma hadaiwi kwa hiloMzize anafunga Goli ila mpira ulitoka nje kabla ya goli kufungwa
Walevi wa alcohol wameingiaje hapa? Hivi hujui kuwa huko bar huwa wanateketeza bia hadi za milioni?Nenda na bar,uwaambie hivi mnashindwa kununua bia mnywee makwenu?
Watakujibu utakaowakuta huko.
Yanga anavuka.Naomba kujuzwa tafadhali nini kitatokea kwa yanga kama matokeo yatakua haya
Y 0, AM 1
Y 1, AM 2
Y0, Am 0
Kwani umehisi nini Mkuu?Naomba kujuzwa tafadhali nini kitatokea kwa yanga kama matokeo yatakua haya
Y 0, AM 1
Y 1, AM 2
Y0, Am 0
Wengi wanauata ushabiki,na wengi wana hizo flat screen.Just imagine,kuna flat screen hadi zile za SUNDAR za bei rahisi,unadhani wote waliomo mle,hawana?Walevi wa alcohol wameingiaje hapa? Hivi hujui kuwa huko bar huwa wanateketeza bia hadi za milioni?
Hao wa buku kuona pambano wakiwa kibanda umiza ndio nawauliza wanakosaje laki 5 ya kununua flat screen watazame boli wakiwa home
Wabongo bhana 😂Wengi wanauata ushabiki,na wengi wana hizo flat screen.Just imagine,kuna flat screen hadi zile za SUNDAR za bei rahisi,unadhani wote waliomo mle,hawana?
Kampani tu... na yale makelele ndo watu wanapenda.
Yanga tunasubiri kupangiwa tu... Simba ndo kimbembe hiyo kesho...Mbona kumepoa hivi??.nyie msiwachoshe hao watu wa sudan wamekata tamaa na maisha...fungeni haraka waende kupumzika...msubiri mpangiwe kundi la mamelody...
Tulia kijana...Yanga tunasubiri kupangiwa tu... Simba ndo kimbembe hiyo kesho...
Daah, ilitakiwa afunge goli tupandishe juu zaidi hizi kaptura na boxer zetuAziz [emoji2785][emoji2785][emoji2785] inagonga mwamba[emoji119][emoji119][emoji119]