Mmeanza kusema...Kakojoe ulale,
Robo karne mkuu kumbukaBado hamjasema mpaka mseme yoteeee, yote kabisaaa
Hiyo sasa ni juu yako mwenyewe na Wahindi wako. Muhimu kwetu ilikuwa ni kufuzu hatua ya makundi. Na tumefanikiwa kufanya hivyo. Kwa sasa tunaitafuta fainali kwa mara nyingine tena.Watu tumebeti kuanzia goli nne, halafu nyie mnazungumzia moja tena? Au nihesabu nimeshaliwa tayari?
Wakiondoka ukacheze wewe.Sawa lakini Mzize aondoke usajili wa dirisha dogo, yeye na Musonda.
Ndiyo.....tunaendelea kusemaMmeanza kusema...
HakikaWakapambane hadi Usiku, Usiku wa Manane[emoji1787]
Sisi tutateseka kama kesho tutafungwa na kufungasha viragoWa Msimbazi.
AmeniiiiiiAhsante sana chama langu kwa kutufikisha hatua hii.
Mungu awe nasi tufike mbali
Xo Xo Xo
Unyama Sana .....Yanga ya msimu huu imejipanga hongera kubwaa KWA mashabiki na timu yote kiujumlaCAFCL: Young Africans SC Vs Al-Merrikh SC | Azam Complex | 30/09/2023
Time 1900Hrs EST
Second preliminary round · Leg 2 of 2
Aggregate: 2 - 0
Ni mchezo wa Round ya Pili kuwania nafasi ya kuingia Makundi kutafuta Club bingwa Afrika
Yanga wataingia Uwanjani wakiwa na goli mbili za ugenini.
Mpira utaanza Saa Moja Jioni kwa saa za Afrika Mashariki.
Kikosi cha Yanga Kinachoanza.
yaan apo badoooRobo karne mkuu kumbuka
Kwavile nyie Simba mnashindaga tano tano msimu huu tokea uanze. Yaani unaisikitikia timu ambayo inacheza soka safi na uhakika wa kushinda ni asilimia zaidi ya 60 na hawarekodi nzuri ya ulinzi msimu huuNawasikitikia jinsi siku hizi hamfungi hizo goli 5
Msimu huy mlivyo pooza ,lolote linaweza kutokea kwani uwezo wa kupata goli kwa ile defense yenu wanao.Sisi tutateseka kama kesho tutafungwa na kufungasha virago
4 4vipi wa 2-2 inafata nini?
Sio In shaa Allah, tuseme Alhamdulillah Yanga imeshaingia makundiBasi tuseme wote inshaAllah!! Yanga imeshaingia makundi. [emoji169][emoji172]
Aahaaaa,mguu mmoja ndaniKuna watu wanaumia....... msimu ulipita tumeweka rekodi kwa timu ya kwanza kufika fainal (KWA MUJIBU WA CAF),msimu tunakifuta kichaka chao cha robo fainal,sijui wataongea nini baada ya hapo.