FT: CAFCL: Young Africans SC 1-0 Al-Merrikh SC | Azam Complex | 30/09/2023

FT: CAFCL: Young Africans SC 1-0 Al-Merrikh SC | Azam Complex | 30/09/2023

Watu tumebeti kuanzia goli nne, halafu nyie mnazungumzia moja tena? Au nihesabu nimeshaliwa tayari?
Hiyo sasa ni juu yako mwenyewe na Wahindi wako. Muhimu kwetu ilikuwa ni kufuzu hatua ya makundi. Na tumefanikiwa kufanya hivyo. Kwa sasa tunaitafuta fainali kwa mara nyingine tena.
 
CAFCL: Young Africans SC Vs Al-Merrikh SC | Azam Complex | 30/09/2023
Time 1900Hrs EST

Second preliminary round · Leg 2 of 2

Aggregate: 2 - 0

Ni mchezo wa Round ya Pili kuwania nafasi ya kuingia Makundi kutafuta Club bingwa Afrika

Yanga wataingia Uwanjani wakiwa na goli mbili za ugenini.

Mpira utaanza Saa Moja Jioni kwa saa za Afrika Mashariki.

Kikosi cha Yanga Kinachoanza.

Unyama Sana .....Yanga ya msimu huu imejipanga hongera kubwaa KWA mashabiki na timu yote kiujumla
 
Kuna watu wanaumia....... msimu ulipita tumeweka rekodi kwa timu ya kwanza kufika fainal (KWA MUJIBU WA CAF),msimu tunakifuta kichaka chao cha robo fainal,sijui wataongea nini baada ya hapo.
Aahaaaa,mguu mmoja ndani
 
Back
Top Bottom