FT: CAFCL: Young Africans SC 1-0 Al-Merrikh SC | Azam Complex | 30/09/2023

Ndugu zetu wanalijua hili kwani hawana defense ya kuwazuia jamaa wasipate goli. Kazi ndipo itaanzia hapo.
 
Ndugu zetu wanalijua hili kwani hawana defense ya kuwazuia jamaa wasipate goli. Kazi ndipo itaanzia hapo.
Hivi swala la Simba Sc kuingia makundi bado mnalichukulia kwa mkazo kiasi hicho..? Hiyo sio story tena kwa Simba Sc, ibaki kuwa story kwenu baada ya kukaa muda mrefu sana.

Simba Sc makundi itaingia na itapita mpaka robo fainali, subirieni robo fainali ndio muanze kuwa na wasiwasi nayo maana huo ndio mtihani mkubwa kwake.
 
Yani we jamaa nakuonaga unaakili kumbe nawe ni mbumbumbu kama wenzio sasa mambo ya simba yanaingia vp kwenye uzi wa mechi ya YANGA
Ni lini mkuu zuzu akawa na akili..Hilo ni bingwa la kuhama timu na kubadirisha majina ya timu zinazokutana na Yanga.
 
Kuna sehemu nimesema hampiti, ila huu ni mpira Galaxy walikunyoosha hapa hapa na mtaji wa goli zako mbili za ugenini.

Wewe msimu huu defense huna na wale jamaa lazima watapata goli,sasa msiombee wao ndio watangulie.
 
Msimu uliopita na huu tulionao umenifunga bao ngapi.?
 
Msimu uliopita na huu tulionao umenifunga bao ngapi.?
Nimekufunga kwani tulikutana CAF?

Kwa hiyo ww quality yako unaipima kupitia Yanga?

Kwani msimu uliopita ngao ya jamii alichukua nani?
 
Nimekufunga kwani tulikutana CAF?

Kwa hiyo ww quality yako unaipima kupitia Yanga?

Kwani msimu uliopita ngao ya jamii alichukua nani?
Kama wewe ulishindwa kunifunga hata goli moja kwenye mechi mbili za mwisho kukutana (ligi na ngao), kwanini unadhani itakuwa ni rahisi kwa Power Dynamos..?

Kwanini usiibeze Power iliyokubali kupigwa goli mbili ikiwa nyumbani kwake badala yake unaibeza team iliyokuwa ugenini (Simba Sc)..?
 
Siibezi power Dynamo ila ukweli uwezo wa kiwazuia wasipate goli hapa huna na husiombee wakutangulie, omba Mungu Mzamiru amke vizuri kwani zinaweza zika jirudia zile errors kama za Mtibwa walizofanya Che na Kenedy (ndio beki yako utayo anza nayo).

Bila kusahau Shabalala na Kapombe,siku hizi upepo waliokuwa nao sio kama zamani wakipanda kushuka kwa Mbinde,yaani kesho omba Mungu Mzamiru amke vizuri na akibugi tu kumweka benchi kama alivyofabya mechi ya Mtibwa basi mna 80% ya kupigwa.

Sasa ww Penalty nazo unazitumia kupima form ya timu yako,wakati mechi ya juzi statically Yanga kadominate kila kitu.

Kama unaujua mpira na ukiacha mapenzi unaweza kunielewa. Mechi ya juzi Zambia ni uwezo binafsi wa Chama,ila upande form bado mnastrugle.
 
Yani uto mnapenda kujilinganisha na simba kitu ambacho hakiwezekani, nyie ni hamna kitu.!! 1998 to date?? Really???
Nyinyi ndo hamna kitu mmejawa wivu na chuki onesha medali ulipata kwenye combe la cuf waliyopata mabwana zako yanga mwaka jana kolo wew roho inakuuma weka picha hapa y mohamed husen akiwa na medali ya caf
 
Tuwaonee wivu kisa nini nyie uto, kojoa ulale bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…