joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Ndugu zetu wanalijua hili kwani hawana defense ya kuwazuia jamaa wasipate goli. Kazi ndipo itaanzia hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi swala la Simba Sc kuingia makundi bado mnalichukulia kwa mkazo kiasi hicho..? Hiyo sio story tena kwa Simba Sc, ibaki kuwa story kwenu baada ya kukaa muda mrefu sana.Ndugu zetu wanalijua hili kwani hawana defense ya kuwazuia jamaa wasipate goli. Kazi ndipo itaanzia hapo.
Ni lini mkuu zuzu akawa na akili..Hilo ni bingwa la kuhama timu na kubadirisha majina ya timu zinazokutana na Yanga.Yani we jamaa nakuonaga unaakili kumbe nawe ni mbumbumbu kama wenzio sasa mambo ya simba yanaingia vp kwenye uzi wa mechi ya YANGA
Kuna sehemu nimesema hampiti, ila huu ni mpira Galaxy walikunyoosha hapa hapa na mtaji wa goli zako mbili za ugenini.Hivi swala la Simba Sc kuingia makundi bado mnalichukulia kwa mkazo kiasi hicho..? Hiyo sio story tena kwa Simba Sc, ibaki kuwa story kwenu baada ya kukaa muda mrefu sana.
Simba Sc makundi itaingia na itapita mpaka robo fainali, subirieni robo fainali ndio muanze kuwa na wasiwasi nayo maana huo ndio mtihani mkubwa kwake.
Msimu uliopita na huu tulionao umenifunga bao ngapi.?Kuna sehemu nimesema hampiti, ila huu ni mpira Galaxy walikunyoosha hapa hapa na mtaji wa goli zako mbili za ugenini.
Wewe msimu huu defense huna na wale jamaa lazima watapata goli,sasa msiombee wao ndio watangulie.
Nimekufunga kwani tulikutana CAF?Msimu uliopita na huu tulionao umenifunga bao ngapi.?
Kama wewe ulishindwa kunifunga hata goli moja kwenye mechi mbili za mwisho kukutana (ligi na ngao), kwanini unadhani itakuwa ni rahisi kwa Power Dynamos..?Nimekufunga kwani tulikutana CAF?
Kwa hiyo ww quality yako unaipima kupitia Yanga?
Kwani msimu uliopita ngao ya jamii alichukua nani?
Siibezi power Dynamo ila ukweli uwezo wa kiwazuia wasipate goli hapa huna na husiombee wakutangulie, omba Mungu Mzamiru amke vizuri kwani zinaweza zika jirudia zile errors kama za Mtibwa walizofanya Che na Kenedy (ndio beki yako utayo anza nayo).Kama wewe ulishindwa kunifunga hata goli moja kwenye mechi mbili za mwisho kukutana (ligi na ngao), kwanini unadhani itakuwa ni rahisi kwa Power Dynamos..?
Kwanini usiibeze Power iliyokubali kupigwa goli mbili ikiwa nyumbani kwake badala yake unaibeza team iliyokuwa ugenini (Simba Sc)..?
Hapana. Kalpana hana komwe mkuu ila ni Mwanasimba aliyeiva!Dah we dada inaonekana una komwe maana sio kwa kupenda shari kiasi hiki
Yani uto mnapenda kujilinganisha na simba kitu ambacho hakiwezekani, nyie ni hamna kitu.!! 1998 to date?? Really???View attachment 2767978
Makolo mnateseka na bado kesho mtakunya pera bichi
Nyinyi ndo hamna kitu mmejawa wivu na chuki onesha medali ulipata kwenye combe la cuf waliyopata mabwana zako yanga mwaka jana kolo wew roho inakuuma weka picha hapa y mohamed husen akiwa na medali ya cafYani uto mnapenda kujilinganisha na simba kitu ambacho hakiwezekani, nyie ni hamna kitu.!! 1998 to date?? Really???
Jiandae kunya pera keshoYani uto mnapenda kujilinganisha na simba kitu ambacho hakiwezekani, nyie ni hamna kitu.!! 1998 to date?? Really???
Hivi Simba na Yanga hawajakutana msimu huu? Yanga alipata goli ngapi? Ally Salimu ha ha haaa!Wewe msimu huu defense huna na wale jamaa lazima watapata goli,sasa msiombee wao ndio watangulie.
Tuwaonee wivu kisa nini nyie uto, kojoa ulale bhanaNyinyi ndo hamna kitu mmejawa wivu na chuki onesha medali ulipata kwenye combe la cuf waliyopata mabwana zako yanga mwaka jana kolo wew roho inakuuma weka picha hapa y mohamed husen akiwa na medali ya caf
Unajisifia kushinda matuta amakweli Rage hakukosea kuwaita mbumbumbuHivi Simba na Yanga hawajakutana msimu huu? Yanga alipata goli ngapi? Ally Salimu ha ha haaa!
Kwani Simba angeruhusu bao mngemfikisha kwenye matuta?Unajisifia kushinda matuta amakweli rage akukosea kuwaita mbumbumbu