FT: CAFCL: Young Africans SC 1-0 Al-Merrikh SC | Azam Complex | 30/09/2023

Hatuna budi kuwapongeza Yanga kwa kutinga makundi.
Miaka 25 ni mingi sana, kama ni mtoto kazaliwa na kahitimu shahada yake ya kwanza.
Yani kwa msisitizo kama nchi Rais alikuwa Mkapa, kaja JK, Magufuli na kote hawakupata nafasi hiyo.

Ni muhimu wafurahi, inawezekana hili lisijirudie kwa kipindi cha karibuni.

Kongole sana Watani.
 
Asiondoke ,Bali awe anaingia kipindi Cha pili super sub Kama chicharito,ana safari ndefu ya bado ,awe Kama mayele,akiondoka timu Kama yanga ,atapotea kabisa,tukuze vipaji vya vijana wetu wazawa
Umeongea kwa busara sana hadi umenibadili mawazo, naungana nawe… Tumpe nafasi.
 
Mkuu samahani unaelewa maana ya direct football??
 
Mkuu samahani unaelewa maana ya direct football??
Direct football with poor defense,naijua direct football na moja ya wataalamu wa hiyo Sir Alex Ferguson na Morinho, sasa angalia hawa enzi zao na na timu ya kwako.

Halafu na shangaa leo nyie wakuongelea direct football, maanake nyie wenyewe mnajitambaga mpira wenu wa chini (Lunyasi),ndio maana kelele zimekuwa nyingi humu kajukwaani "sio mpira wetu".

So kwa hiyo tunakubaliana tunaenda na direct football msimu huu (ngojea nilihifazi jina lako tutakumbushana mbele ya safari).
 
Sipimi uwezo wa team yangu kwa zile penalty, msingi wa hoja zangu ni ile kauli yako kuwa ni  LAZIMA turuhusu goli.

Pamoja na kudominate ile game mbona haukuweza kufunga hayo magoli kutokana na ubovu wa backline yetu "kama unavyodai".?

Kama wewe haukuweza kwanini uone kwamba kwa Power Dynamos itakuwa rahisi..?



Kaa utulie usubirie kuona Simba Sc anaingia makundi..!
 
Makundi gani?
 

Mkuu mpira unabadilika kulingana na mahitaji ya wakati husika so kwa sasa simba inahitaji ushindi hayo mengine ni ziada tu
Wapo wenzetu wanaotaka pira biliary lakin wajue biliani bila point ni sawa na pank kitimoto jambo ambalo ni gumu sana.
 
Mpangeni na leo huyo Ally Salim ktk dk 90, muone kama hayaja tokea ya Mtibwa.
Matokeo ya Simba na Mtibwa yalikuwa Mtibwa 2-4 Simba. Leo yakitokea ya Mtibwa mbona fresh tu! 😁
 
Kwani ww ulifunga ktk dk hizo 90?

Kwani ww mechi ya Dynamo ulipata clean sheet? Kama waliweza kupata goli hata hapa watapata goli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…