Mfalme_wa_Nyika
JF-Expert Member
- May 24, 2023
- 389
- 911
utalipata jibu leo 6pmUliza tena.
Kaka umenielewa au........ bado.Lazima mruhusu goli haya kazi kwenu........Sipimi uwezo wa team yangu kwa zile penalty, msingi wa hoja zangu ni ile kauli yako kuwa ni LAZIMA turuhusu goli.
Pamoja na kudominate ile game mbona haukuweza kufunga hayo magoli kutokana na ubovu wa backline yetu "kama unavyodai".?
Kama wewe haukuweza kwanini uone kwamba kwa Power Dynamos itakuwa rahisi..?
Kaa utulie usubirie kuona Simba Sc anaingia makundi..!
Tayari msharuhusu goli, hukoooo......Mkuu mpira unabadilika kulingana na mahitaji ya wakati husika so kwa sasa simba inahitaji ushindi hayo mengine ni ziada tu
Wapo wenzetu wanaotaka pira biliary lakin wajue biliani bila point ni sawa na pank kitimoto jambo ambalo ni gumu sana.
Pole yake... Tunaenda bado..View attachment 2767989
Mume wenu mlikuwa mnapiga makele kawachoma wenzie
Kaka unaiona direct football ball,wakina Ferguson walikuwa na winga wenye speed ,huku Giggs huku Ronaldo kati yupo Scholes wakiupata speed,wewe timu yako imepooza.Mkuu samahani unaelewa maana ya direct football??
Robertinho atakuja kukuua ndugu yangu. Wewe sio wa kukaa kinyonge namna hiyo kwenye siku kama hii.Nipo kama chogo ukigeuka tu ndio hunioni