FT: CAFCL: Young Africans SC 1-0 Al-Merrikh SC | Azam Complex | 30/09/2023

FT: CAFCL: Young Africans SC 1-0 Al-Merrikh SC | Azam Complex | 30/09/2023

Leo nataka niwatafute na kuwajibu waliokua wanaitakia yanga mabaya na ninawajibu bila kujua matokeo ya jana[emoji3][emoji3]
 
Sipimi uwezo wa team yangu kwa zile penalty, msingi wa hoja zangu ni ile kauli yako kuwa ni  LAZIMA turuhusu goli.

Pamoja na kudominate ile game mbona haukuweza kufunga hayo magoli kutokana na ubovu wa backline yetu "kama unavyodai".?

Kama wewe haukuweza kwanini uone kwamba kwa Power Dynamos itakuwa rahisi..?



Kaa utulie usubirie kuona Simba Sc anaingia makundi..!
Kaka umenielewa au........ bado.Lazima mruhusu goli haya kazi kwenu........
 
Mkuu mpira unabadilika kulingana na mahitaji ya wakati husika so kwa sasa simba inahitaji ushindi hayo mengine ni ziada tu
Wapo wenzetu wanaotaka pira biliary lakin wajue biliani bila point ni sawa na pank kitimoto jambo ambalo ni gumu sana.
Tayari msharuhusu goli, hukoooo......
 
Mkuu samahani unaelewa maana ya direct football??
Kaka unaiona direct football ball,wakina Ferguson walikuwa na winga wenye speed ,huku Giggs huku Ronaldo kati yupo Scholes wakiupata speed,wewe timu yako imepooza.

Haya mshatanguliwa.
 
Dah! Kwa mpira huu ndugu zangu tarehe 20 Oct nitajifunika blanketi matokeo nijue asubuhi. Robertinyo Hana mbinu. Hadi Sasa sijui first 11 ya Simba ni ipi.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom