jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
A combination of factors maybe?Hawa azam camera haipo clear kabisa, utafikiri ni mtu anachukua na simu, ama ni king'amuzi changu kina shida ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
A combination of factors maybe?Hawa azam camera haipo clear kabisa, utafikiri ni mtu anachukua na simu, ama ni king'amuzi changu kina shida ?
Picha mbaya.....Hawa azam camera haipo clear kabisa, utafikiri ni mtu anachukua na simu, ama ni king'amuzi changu kina shida ?
Kuna wale wengine hadi half time ilikua moja moja.Timu ya bank haina hata washabiki zaidi ya wanafamilia wa wafanyakazi, lakini dk 18 hii bado tu hawajafungwa! Dah!
Kakudanganya nani kuwa na washabiki wengi ndio kucheza sana mpira?Timu ya bank haina hata washabiki zaidi ya wanafamilia wa wafanyakazi, lakini dk 18 hii bado tu hawajafungwa! Dah!
Sio Azam ni Wenyeji wenyewe.Hawa azam camera haipo clear kabisa, utafikiri ni mtu anachukua na simu, ama ni king'amuzi changu kina shida ?
Mzize aitwe akafukue fukue golini pale.Mmh simba mkajifunze uchawi Ethiopia.....
Goli lao halionekani
Timu ya bank.Game tata kwa Uto hii
Tutapiga tu hao ACT wazalendoYanga wanaweza shinda 6😅
Mpaka afungwe mtu ndo utaona cha kuchangamshaNdiyo lakini inaweza isiwe kiulaini kama wengi wanavyodhani.
Ila mpira umepoa sana.
Mfungwe tu mna midomo sana😅Mpaka afungwe mtu ndo utaona cha kuchangamsha
Kuwashinda nyie wachawi?Mfungwe tu mda midomo sana😅
Ma learner watupu ndio Wanaochezea hakuna kitu Cha maana wanafanya🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #CAFCL
⚽️ Cbe SA 🆚 Yanga SC
📆 14.09.2024
🏟 Abebe Bikila Stadium
🕖 15:00 Alasiri
View attachment 3095275
Kikosi kinachoanza dhidi ya CBE SA FC
View attachment 3095665
mpira umeanza
dakika ya 2
dube anakosa nafasi ya wazi
dakika ya 15
pacome anafanya mashambulizi
dakika ya 25
0-0