A combination of factors maybe?Hawa azam camera haipo clear kabisa, utafikiri ni mtu anachukua na simu, ama ni king'amuzi changu kina shida ?
Picha mbaya.....Hawa azam camera haipo clear kabisa, utafikiri ni mtu anachukua na simu, ama ni king'amuzi changu kina shida ?
Kuna wale wengine hadi half time ilikua moja moja.Timu ya bank haina hata washabiki zaidi ya wanafamilia wa wafanyakazi, lakini dk 18 hii bado tu hawajafungwa! Dah!
Kakudanganya nani kuwa na washabiki wengi ndio kucheza sana mpira?Timu ya bank haina hata washabiki zaidi ya wanafamilia wa wafanyakazi, lakini dk 18 hii bado tu hawajafungwa! Dah!
Sio Azam ni Wenyeji wenyewe.Hawa azam camera haipo clear kabisa, utafikiri ni mtu anachukua na simu, ama ni king'amuzi changu kina shida ?
Mzize aitwe akafukue fukue golini pale.Mmh simba mkajifunze uchawi Ethiopia.....
Goli lao halionekani
Timu ya bank.Game tata kwa Uto hii
Tutapiga tu hao ACT wazalendoYanga wanaweza shinda 6π
Mpaka afungwe mtu ndo utaona cha kuchangamshaNdiyo lakini inaweza isiwe kiulaini kama wengi wanavyodhani.
Ila mpira umepoa sana.
Mfungwe tu mna midomo sanaπMpaka afungwe mtu ndo utaona cha kuchangamsha
Kuwashinda nyie wachawi?Mfungwe tu mda midomo sanaπ
Ma learner watupu ndio Wanaochezea hakuna kitu Cha maana wanafanyaπ°πππππππππ°
π #CAFCL
β½οΈ Cbe SA π Yanga SC
π 14.09.2024
π Abebe Bikila Stadium
π 15:00 Alasiri
View attachment 3095275
Kikosi kinachoanza dhidi ya CBE SA FC
View attachment 3095665
mpira umeanza
dakika ya 2
dube anakosa nafasi ya wazi
dakika ya 15
pacome anafanya mashambulizi
dakika ya 25
0-0