Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Katika dakika ya 7' tu mchezaji Max hakuwa na chaguo jingine zaidi ya kutoa zawadi kwa mashabiki wake waliojitokeza kwa wingi wakiwa kwenye style yake ya uchomekeaji wa Jezi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhan mashabiki wa YANGA wamezoea ushind had wanaona kitu Cha kawaida TU kwaoHii mechi haina vibe nini mbona Uzi umenuna
Hii mechi haina vibe nini mbona Uzi umenuna
Fire fire fire!
AahaaaaaMechi ya Simba Queens dhidi ya Green Buffalos ni bora kuliko hii
Mechi ya Simba Queens dhidi ya Green Buffalos ni bora kuliko hii
Konkon gari limewaka nin
Na hivi wanatupa mabomu mochwari kwao ni kawaida sana kutupa mabomu huko japo walifeli kwa Ihefu 😂😂Nadhan mashabiki wa YANGA wamezoea ushind had wanaona kitu Cha kawaida TU kwao
Yanga fanya kweli. Wanapigwa ASAS wanaumia SimbaKatika dakika ya 7' tu mchezaji Max hakuwa na chaguo jingine zaidi ya kutoa zawadi kwa mashabiki wake waliojitokeza kwa wingi wakiwa kwenye style yake ya uchomekeaji wa Jezi. View attachment 2729535
Pira GamondTunangalia burudani tu yampira leo possession 72 kwa 28
Dah haya ndugu sina neno sijui shemeji kajaje kwenye huu uziWewe na shemeji ndo hamna vibe, nendeni mkeshe kidimbwi vibe litakuja.