Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Jemima Mrembo 😁Yanga fanya kweli. Wanapigwa ASAS wanaumia Simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jemima Mrembo 😁Yanga fanya kweli. Wanapigwa ASAS wanaumia Simba
Wacha weee!😄😄😄Nilichokigundua Simba mwaka huu ataendelea kujifunza kwa Yanga
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Nilichokigundua Simba mwaka huu ataendelea kujifunza kwa Yanga
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Waje aisee
Kuna anaebisha nauliza???Wacha weee![emoji1][emoji1][emoji1]
Wamemuachia Kambi ya Fisi peke yake, inabidi waje kusaidianaWaje aisee
AahaaaaaaWamemuachia Kambi ya Fisi peke yake, inabidi waje kusaidiana
Wacha weee!😄😄😄😄😄
Dah haya ndugu sina neno sijui shemeji kajaje kwenye huu uzi
Nyuzi lukuki mumeshaanzisha mujifunze kwa mtani tena mapema tuUkikua utaacha kuwaza hivyo
Nini tena amewatoboaPacomeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Bora kutobolewa,aahaaaaaaa wametinduliwaaaaaaaaaaaaaaaNini tena amewatoboa
Pacome ni nyokoooooHili la 3 lifutwe mfungaji amewadhalilisha mno mabeki pinzani