Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Ningejua mapema kama Roman Abramovich angetengenezewa zengwe la kunyang'anywa kwa uonevu hii timu na kupewa Wamarekani, hata nisingejishughulisha kuishabikia.Chelsea bhana, chuma cha tatu
Bora ningebakia na Yanga yangu.