Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,405 Reaction score 138,158 Apr 12, 2026 #21 Active said: Chelsea bhana, chuma cha tatu Click to expand... Ningejua mapema kama Roman Abramovich angetengenezewa zengwe la kunyang'anywa kwa uonevu hii timu na kupewa Wamarekani, hata nisingejishughulisha kuishabikia. Bora ningebakia na Yanga yangu.
Active said: Chelsea bhana, chuma cha tatu Click to expand... Ningejua mapema kama Roman Abramovich angetengenezewa zengwe la kunyang'anywa kwa uonevu hii timu na kupewa Wamarekani, hata nisingejishughulisha kuishabikia. Bora ningebakia na Yanga yangu.