🏟️ HALI YA UWANJA | STAMFORD BRIDGE
Hali ya dimba la Stamford Bridge jijini London inaonekana kuwa nzuri kwa maandalizi ya mchezo huu. Uwanja una nyasi za asili, huku hali ya hewa ikitarajiwa kuwa ya mawingu kiasi na joto la takribani nyuzi 13°C.
Utabiri unaonyesha uwezekano mdogo wa mvua, hivyo mazingira yanatarajiwa kuwa mazuri kwa mchezo wa soka. Hakuna dalili za hali mbaya ya hewa inayoweza kuathiri mchezo