ππRefa maliza mpira umeme umekatikaaaaa
Mkuu heri nikuache, mi naona unafurahisha genge tu haupo seriousLigi haina tatizo tunajua anayechukua Mwaka huu ni aZam na Simba mshindi wa Pili Yanga mshindi wa Tatu
Walijiepusha na matesoZamani Jf kulikuwaga na mashabiki wa simba hivi waliendaga wapi?
Poleni best si huku tumeshaanza kusahau shida ya umeme.ππππ€£π€£π€£π€£Kabisaa Best. Na umeme huku majanga
Poleni best si huku tumeshaanza kusahau shida ya umeme.
Suluhu ya nini mkandweInamaana mnaamini hii game tunatoa Suluhu?
Bahasha ina mkwanja mdogo, mud aongeze helaRefa muda unaenda mbona hutoi penati asee. Jioni hii refa