Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla sijaonyesha slip yangu! Nioneshe picha baba yako akibeba tofali la ujenzi wa jengo la club hapo Simba! Au nioneshe taarifa ya mauzo ya mchezaji Luis miquisone.Maneno mengi kweli ila hujaja na mbadala wa Mo wala hujaonyesha slip ya mchango wowote kutoka kwako msimu huu kwa Simba. Porojo tu. Bla bla bla za mimi Simba baba yangu sunderland.
Tatizo unaonekana unaishi uko porini! Hujui chochote kuhusu habari za mjini! Kwa taarifa yako wapo matajiri kibao tu wenye uwezo wa kuwekeza Simba bila ujanja ujanja na Simba ikasonga mbele vizuri tu.Wanachama tunaweza kulisha Club? Kwa muda gani? Ili tujue tunaweza msubiri kwa muda gani. Mfano tukisema tutaje watu wa5 tu ambao wanaweza kuwa interested unaweza kuja na majina?
Ukisema umefanya unaleta uthibitisho, acha siasa.Kabla sijaonyesha slip yangu! Nioneshe picha baba yako akibeba tofali la ujenzi wa jengo la club hapo Simba! Au nioneshe taarifa ya mauzo ya mchezaji Luis miquisone.
Una maneno mengi ambayo hayana uhusiano na mbadala wa pendekezo lako la kumfukuza MO. Mbadala wa Mo ni nini?Tatizo unaonekana unaishi uko porini! Hujui chochote kuhusu habari za mjini! Kwa taarifa yako wapo matajiri kibao tu wenye uwezo wa kuwekeza Simba bila ujanja ujanja na Simba ikasonga mbele vizuri tu.
Kwa kulijua hilo ndio maana muhindi alionga sana pesa matawini kupitia vibaraka wake wakina mzee Magori na try again ili aweze kuwekeza uwekezaji wa mchongo hapo Simba!
Sisi tuliompinga tunaomjua toka alipoingia Simba mara ya Kwanza mwaka 2000. Ni mtu janja janja sana na mipango isiyo kamilika!
Wakati anataka kuwekeza alisema atajenga hostel za wachezaji je ameshaweka hata tofali moja? Alisema ataanzisha academy ya vijana! Leo ni miaka mingapi? Ana hata academy ya mchezaji mmoja?
Alisema atapeleka wachezaji wa zamani wa Simba kupata mafunzo ya ukocha uko ughaibuni! Ameshapeleka hata mtu mmoja uko nje? MO tunamjua nje ndani hana uwezo wa kutufikisha popote ni mjanja wa mujini tu! Akili zake anafikili pale Simba wote ni wajinga.
Naona unazunguka na maswali mfu We kwa akili zako timamu unadhan Mo anapata hasara kama anavyosema? Timu kutinga hatua ya makundi imepata bil 1 robo fainali bil 1+ na ina misimimu minne imetinga robo bilion ngapi zimekusanywa? Kwa progress wanazofanya simba huko nje hakuna mtu mwenye pesa atasita kuwekeza simba hata Mo akiachia timu hii asubuhi jion inapata muwekezaji na kwa mentality yako ya kimaskini unaona simba bila Mo haiendi unajidanganya Mo anaihitaji simba sana kwa biashara zake hatuoni pesa/mkataba alioingia na simba kuweka matangazo yake kwenye jezi mpaka matakoni anakuja kulia lia hasara halafu pesa yake hatuioni kwenye mitandao ya kijamii wachezaji wamebeba bidhaa zake kuliko ubebaji wa makombe mara Mo juisi kwa akili yako ya kawaida huyu mtu anatupeleka mbele au yuko na.maslahi yake ya kibiashara huku timu ikikosa umakini uwanjaniAsset kwanini? Kwanini siyo Liability? Ni asset kwa wawekezaji wa aina gani? So far,Mo anapata pressure ya kiwango gani kutoka kwa wafanya biashara wengine ya kuuza share zake kwa faida ili aiachie Simba? Mbona maswali ni mengi ya kujiuliza kabla ya kuhitimisha kiwepesi tu kuwa akitoka yupo mwingine.
Suala la hasara na faida ni suala la mizania na taarifa ya mapato na matumizi(Financial statements) sio kudhani wala hisia wala maneno ya Mo. Njoo na takwimu za taarifa za fedha kuwa Mo ni muongo sio hisia zako.Naona unazunguka na maswali mfu We kwa akili zako timamu unadhan Mo anapata hasara kama anavyosema?
Haitingi robo fainali bila kuwekeza. Hiyo B1 unayoisema kuna fedha imewekwa ndipo ikazalishwa, imewekwa Tsh ngapi? Imewekwa na nani? Ni suala la data si hisia.Timu kutinga hatua ya makundi imepata bil 1 robo fainali bil 1+ na ina misimimu minne imetinga robo bilion ngapi zimekusanywa?
Hapa unatumia mihemko kama wale wa kilimo cha tikiti kile cha makaratasi kuwa kinalipa balaa.Kwa progress wanazofanya simba huko nje hakuna mtu mwenye pesa atasita kuwekeza simba hata Mo akiachia timu hii asubuhi jion inapata muwekezaji na kwa mentality yako ya kimaskini unaona simba bila Mo haiendi unajidanganya Mo anaihitaji simba sana kwa biashara zake hatuoni pesa/mkataba alioingia na simba kuweka matangazo yake kwenye jezi mpaka matakoni anakuja kulia lia hasara halafu pesa yake hatuioni kwenye mitandao ya kijamii wachezaji wamebeba bidhaa zake kuliko ubebaji wa makombe mara Mo juisi kwa akili yako ya kawaida huyu mtu anatupeleka mbele au yuko na.maslahi yake ya kibiashara huku timu ikikosa umakini uwanjani
bado mdhamini Mbet,makusanyo ya getini, mauzo ya wachezaji, mkataba wa jezi na sandaland, mkataba na africarrier
Atangaze kuachia timu tuone kama watakosekana wakuichukua simba
Mfano mzuri glazzer family walipotangaza kuuza hisa zao pale manchester united walijitokeza sheikh jassim wa katari na sir jimmy ratcllife wa marekani Mo atoke hadhari atangaze kuuza hisa zake uone moto
Hizo financial statement Mo alitakiwa atuwekee mezaniSuala la hasara na faida ni suala la mizania na taarifa ya mapato na matumizi(Financial statements) sio kudhani wala hisia wala maneno ya Mo. Njoo na takwimu za taarifa za fedha kuwa Mo ni muongo sio hisia zako.
Haitingi robo fainali bila kuwekeza. Hiyo B1 unayoisema kuna fedha imewekwa ndipo ikazalishwa, imewekwa Tsh ngapi? Imewekwa na nani? Ni suala la data si hisia.
Hapa unatumia mihemko kama wale wa kilimo cha tikiti kile cha makaratasi kuwa kinalipa balaa.
Nenda straight to the point kuwa kuna wawekezaji kama kina A B C wanaihitaji Simba sababu ya A B C hivyo watawekeza iwapo Mo atatangaza kuuza hisa.
Maneno mengiii ila yamejaa hisia kuliko uhalisia.
Una point ila kwa Sasa tuna jambo la tofauti.Hizo financial statement Mo alitakiwa atuwekee mezani
Tumeuza sakho & co bilion kadhaa
Udhamini wa jezi bilion kadhaa
Udahamini wa africarrier bilion kadhaa
Udhamini wa sandaland bilion kadha
Udhamini wa Mo foundation bilion kadhaa
Udhamini wa moxtra milion kadhaa
Udhamini wa mo sabuni milion kadhaa
Michango ya wanachama hai bilion kadhaa
Kodi ya majengo/vitega uchumi bilion kadhaa
Pesa ya iliochangishwa wanachama na wapenzi wa simba mitandaoni milion kadhaa
Gate collection msimu mzima bilion kadhaa
Pesa ya klabu mashindano ya kimataifa makundi milion 900+
Robo fainali bilion 1+
Atuwekee na matuminzi yake
Nakukumbusha tena Glazzers family walipoweka hisa zao sokoni pale man utd alitokea sheikh jassim wa katari na sir jimmy ratcliffe marekani kutaka kununua hizo hisa na waliuza kwa sir jimmy ratcliffe kwa mfumo huru
Nakukumbusha tena Mudi akiweka hisa zake pale simba sokoni muda huu mpaka saa 12 jioni watu watajitokeza kununua
Siendelei zaidi ya hapa
Lini..Yanga alikaa miaka mi4, ila simba miaka mi3 inaonekana ajabu
Hamuishi katika past wewe na nani?Lini..
Hatuishi ktk past mkuu
OKHizo financial statement Mo alitakiwa atuwekee mezani
Tumeuza sakho & co bilion kadhaa
Udhamini wa jezi bilion kadhaa
Udahamini wa africarrier bilion kadhaa
Udhamini wa sandaland bilion kadha
Udhamini wa Mo foundation bilion kadhaa
Udhamini wa moxtra milion kadhaa
Udhamini wa mo sabuni milion kadhaa
Michango ya wanachama hai bilion kadhaa
Kodi ya majengo/vitega uchumi bilion kadhaa
Pesa ya iliochangishwa wanachama na wapenzi wa simba mitandaoni milion kadhaa
Gate collection msimu mzima bilion kadhaa
Pesa ya klabu mashindano ya kimataifa makundi milion 900+
Robo fainali bilion 1+
Atuwekee na matuminzi yake
Nakukumbusha tena Glazzers family walipoweka hisa zao sokoni pale man utd alitokea sheikh jassim wa katari na sir jimmy ratcliffe marekani kutaka kununua hizo hisa na waliuza kwa sir jimmy ratcliffe kwa mfumo huru
Nakukumbusha tena Mudi akiweka hisa zake pale simba sokoni muda huu mpaka saa 12 jioni watu watajitokeza kununua
Siendelei zaidi ya hapa
Hivi mnapata wapi muda wa kuandika huu upupu? Kabla ya mo simba ilikuwepo mbona hatukuona hao wanunuzi wa hisa? Leo Mo kaifikisha simba hapo ilipo ndio kuna wateja wa hisa.Hizo financial statement Mo alitakiwa atuwekee mezani
Tumeuza sakho & co bilion kadhaa
Udhamini wa jezi bilion kadhaa
Udahamini wa africarrier bilion kadhaa
Udhamini wa sandaland bilion kadha
Udhamini wa Mo foundation bilion kadhaa
Udhamini wa moxtra milion kadhaa
Udhamini wa mo sabuni milion kadhaa
Michango ya wanachama hai bilion kadhaa
Kodi ya majengo/vitega uchumi bilion kadhaa
Pesa ya iliochangishwa wanachama na wapenzi wa simba mitandaoni milion kadhaa
Gate collection msimu mzima bilion kadhaa
Pesa ya klabu mashindano ya kimataifa makundi milion 900+
Robo fainali bilion 1+
Atuwekee na matuminzi yake
Nakukumbusha tena Glazzers family walipoweka hisa zao sokoni pale man utd alitokea sheikh jassim wa katari na sir jimmy ratcliffe marekani kutaka kununua hizo hisa na waliuza kwa sir jimmy ratcliffe kwa mfumo huru
Nakukumbusha tena Mudi akiweka hisa zake pale simba sokoni muda huu mpaka saa 12 jioni watu watajitokeza kununua
Siendelei zaidi ya hapa
KAma mambo hayaendi kamq tulivyoaminishwa kwanini tusiseme? Nyie mnaofanya soka letu lisiende mbele unafurahi kabisa mwenyekiti anasima anasema moja ya mafanikio ya simba ni kuundwa whatsapp channel uko mzima kichwani?Hivi mnapata wapi muda wa kuandika huu upupu? Kabla ya mo simba ilikuwepo mbona hatukuona hao wanunuzi wa hisa? Leo Mo kaifikisha simba hapo ilipo ndio kuna wateja wa hisa.
Hilo sifurahii ila sitaki Mo atoke hadi tajiri yeyote ajitokeze hadharani atake kuwekeza simba kama alivyojitokeza MoKAma mambo hayaendi kamq tulivyoaminishwa kwanini tusiseme? Nyie mnaofanya soka letu lisiende mbele unafurahi kabisa mwenyekiti anasima anasema moja ya mafanikio ya simba ni kuundwa whatsapp channel uko mzima kichwani?
Miss you too mjukuuNimekumisss saanaa😍😍