FT: CR Belouizdad 0 - 0 Al Ahly FC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 16.2.2024

Ni nyie hao hao mliyofungwa tano au ni wengine?
Tano tulishafungwa kwenye makundi mara mbili na mmojawapo aliyetufunga hakufuzu robo fainali, sisi tukaenda. Kwa ujumla hapa bongo ni sisi tu tunajua kucheza kikubwa

 
Hili kundi ni gumu sana kutabirika, siyo ajabu kuona Medeama akifuzu mwisho wa siku, timu ambayo isiyopigiwa hesabu na watu wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…