Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Kabisa baadae mwarabu anapigwa kama ngomandani ya uzi mkali
All the best yangaMechi itaisha draw ya 1 kwa 1.
CR Belouizdad ni wa 3 kwenye ligi yao Yanga sc ni 1 kwenye ligi yao hizi hapa chini mechi zao 5 za wote 2 yaani kwenye ligi zaoNi leo tu mchana nilikumbuka nikasema ikifika saa 6 usiku Charles kilian ataanzisha thread ya mechi ya Yanga Vs Belouzdad. Lol
Ila, tafadhali jitahidi kuweka nyama kidogo. Kama historia ya hivyo vilabu kukutana, kila timu iko kwenye msimamo gani kwenye ligi iliyomo, na wachezaji wa kutazamwa kwa umakini.
Asante
Pyramids vs Mazembe Over 2.5 goalsCR Belouizdad ni wa 3 kwenye ligi yao Yanga sc ni 1 kwenye ligi yao hizi hapa chini mechi zao 5 za wote 2 yaani kwenye ligi zao
ππππππππ
View attachment 2822773
Vamos vijana wa Africa [emoji288] [emoji123]Leo ndo leo majira ya saa 4 usiku Yanga sc watakuwa wanacheza mechi yao ya kwanza katika ligi ya mabingwa Afrika Mungu ibariki Yanga sc
View attachment 2822757
Na supu piaTeam Ndani ya uzi mkali
Nimependa kuiona Team ipo Algeria lakini inaendelea na utamaduni wa kutoa misaada vituo vya watoto yatima