FT: CRDB Bank Federation Cup 23/24 FINAL: Dak. 120 | Azam FC 0-0 Yanga SC | Pnt (5-6): New Amaan Complex 2/6/2024. Yanga abeba ubingwa

Hakuna timu huko ni useless team ! We ngoja msimu ujao kuna watu pale utopolo watakunywa sumu..
Yanga ni useless timu ndio maana imeshika nafasi ya tatu ligi kuu.Na kwa misimu mitatu mfululizo Yanga wameshindwa kubeba kombe la ligi kuu.
Moron.
 
Utopolo de majini wanaandaliwa mazingira ya kushinda baada ya kuona azam wanaweza kushinda ..mechi ilitakiwa iende kwenye penalt..na utopolo kwenye penat ni useless pussycat team refer mechi na mamelod, simba kwenye pennat
Refer mashujaa na simba kwenye penalt
 
Yanga ni useless timu ndio maana imeshika nafasi ya tatu ligi kuu.Na kwa misimu mitatu mfululizo Yanga wameshindwa kubeba kombe la ligi kuu.
Rubbish team. Useless nikampoomp team.
 
Yanga kama wana akili wamalize hii mechi kabla ya penati. Huyu kipa wa Azam mzuri mno anaweza kuwanyima kombe hawa Yanga
 
Yanga kama wana akili wamalize hii mechi kabla ya penati. Huyu kipa wa Azam mzuri mno anaweza kuwanyima kombe hawa Yanga
Mdaka mishale una wasiwasi nae?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…