Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Hakun mbabe hadi hivi sasa 0 - 0Ngap ngap huko..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakun mbabe hadi hivi sasa 0 - 0Ngap ngap huko..
Yanga ni useless timu ndio maana imeshika nafasi ya tatu ligi kuu.Na kwa misimu mitatu mfululizo Yanga wameshindwa kubeba kombe la ligi kuu.Hakuna timu huko ni useless team ! We ngoja msimu ujao kuna watu pale utopolo watakunywa sumu..
bingwa mavi! [emoji706]Unapata wapi ujasiri wa kumzungumzia BINGWA WA NCHI?
Refer mashujaa na simba kwenye penaltUtopolo de majini wanaandaliwa mazingira ya kushinda baada ya kuona azam wanaweza kushinda ..mechi ilitakiwa iende kwenye penalt..na utopolo kwenye penat ni useless pussycat team refer mechi na mamelod, simba kwenye pennat
Rubbish team. Useless nikampoomp team.Yanga ni useless timu ndio maana imeshika nafasi ya tatu ligi kuu.Na kwa misimu mitatu mfululizo Yanga wameshindwa kubeba kombe la ligi kuu.
Ww ni Kolo nini?Pacome analazimishwa kuwepo uwanjani. Nahisi bado hayuko sawa
Achana na gasho hiloMkuu wengine tuna pressure. Na mapumbu yanauma. Usiandike tena uongo.
Bladfaken.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu wengine tuna pressure. Na mapumbu yanauma. Usiandike tena uongo.
Bladfaken.
Dk 115 0-0Mbona kama uzi umesimama? tupeni update...
Mdaka mishale una wasiwasi nae?Yanga kama wana akili wamalize hii mechi kabla ya penati. Huyu kipa wa Azam mzuri mno anaweza kuwanyima kombe hawa Yanga
Ofisini patatuliaMkifungwa maisha yangu yatakuwa mepesi sana ofisini kesho.
😁😁