Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tushashinda sana jamani hamna hata muda wa kusikitikaInasikitisha sana
Tumeamua tuwaachie na wao hiliTushashinda sana jamani hamna hata muda wa kusikitika
Pole kwa silesiHii mechi imekujaje kunipa stress jamani!
😂😂😂 me dodoma jijiKumbe nawe munyamaaa
Anachanganywa na penzi feki la manzi ya bossHii mechi imekujaje kunipa stress jamani!
Katokea nini?Mbona kama kipa wa Azam katokea?