Yanga Bingwa wewe tulia Makolo FcAzam bana. Wametuongezea kelele tu mjini
Dah wiki nzima ungeniandamaKwahiyo mimi kesho nisinywe chai
🤸💚💛💛💛💛💚💚Mchumba bado unacheck game?
😂😂😂😂Azam bana. Wametuongezea kelele tu mjini
Kwa taaabuJust imagine daah
kwakwel kila bahati ilikua kwao haiwezekani mtamgulie penalt mbili afu mfanye uzemveLambalamba wazembe mno, hovyo kabisa
Yanga Bingwa sasa huu uzi Makolo Fc wataupita km wanaaga MaitiPyeeeeeh
😂😂😂sawa mkuuTulia kidogo
Mobetto hakwepi hizi lawama