Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Kwahyo Fosali katunyamazisha ili tusilibebe kombe au[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli, japo upande wetu umekuwa mbaya ila bora tujipange kwa yajayo.Bora msimu umeisha.
Mobetto hakwepi hizi lawama
Kwakweli...Itoshe kusema Azam ni Wasengerema
Hahaha. Una roho mbaya mno.Subiri Msimu ujao muishie nafasi ya 4
Timu yangu siwezi kuikatia tamaaWee mwamba ndio Staa wa hapa JF, hukukata tamaa kabisaaa!!!!
woraaaaaa!!!!
Huyu Iddy kwakweli kuna kitu kichunguzwe hapa
Tumewalambisha pilipiliUngekuwa unakimbia ukiona uzi nipo 😂
Ningekuganda 🍦🍦
Mambo SamiaAzam asiposhinda niitwe samia
Kaleta gundu, yanga sio ya dakika 100🤣🤣🤣Wakati leo furaha ya boss ataihamishia kwa kifanyio cha misa...
Kama kweli Hersi anatoka na Hamisa nitamdharau sanaWakati leo furaha ya boss ataihamishia kwa kifanyio cha misa...
Na kibaya zaidi ukilamba na ice cream ndiyo pilipili inazidi kuwasha 🤣Tumewalambisha pilipili