FT: CRDB Bank Federation Cup 23/24 FINAL: Dak. 120 | Azam FC 0-0 Yanga SC | Pnt (5-6): New Amaan Complex 2/6/2024. Yanga abeba ubingwa

FT: CRDB Bank Federation Cup 23/24 FINAL: Dak. 120 | Azam FC 0-0 Yanga SC | Pnt (5-6): New Amaan Complex 2/6/2024. Yanga abeba ubingwa

Kitendo cha Feisal kuonesha ile ishara baada ya kufunga ile penati, nikapata moyo na imani kuwa Feisal ataadhibiwa kwa ishara aliyoitoa kwa mashabiki wa Yanga. Hivyo sikuwa tena na wasiwasi kama nilivyokuwa mwanzoni kabla ya penati ya Fei toto
 
Back
Top Bottom