FT: CRDB Bank Federation Cup 23/24 FINAL: Dak. 120 | Azam FC 0-0 Yanga SC | Pnt (5-6): New Amaan Complex 2/6/2024. Yanga abeba ubingwa

penalti za mwisho hata sikutazama nilikimbilia washroom kabisa maana machozi yalianza kunilengalenga halafu nilikuwa nimekaa na makolo wanashangilia penalti za Azam..!!

Nimekuja kushangilia baada ya kutoka sasa watu wameshamaliza..!🙌

Pole sana mtumishi
 
kabisa hapa wameleta uhuni tuu hawa watu.
Ukiita uhuni kumbuka Azam hawajapiga on target hata Moja na Leo Aucho hakuwa poa pasi nyingi ziliharibika Bacca aka clear wangeshinda Azam Kipa angekuwa ila vile yanga wameshinda Bacca amestahili beki ya Azam ilikuwa wazi ndio maana Kipa wao kaonekana mkali ila beki ya Yanga ilikuwa sold ndio maana Diara hajawa na kazi kubwa
 
Hongera Yanga FC
 
Azam wazembe sana.

Kwenye dakika 120 Utopolo walikuwa vizuri, labda ball passionaty Utopolo wako juu.

Cha ajabu kwemye zile penalti hakina Fei mmetuangusha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…