FT: CRDB Bank Federation Cup 23/24 FINAL: Dak. 120 | Azam FC 0-0 Yanga SC | Pnt (5-6): New Amaan Complex 2/6/2024. Yanga abeba ubingwa

FT: CRDB Bank Federation Cup 23/24 FINAL: Dak. 120 | Azam FC 0-0 Yanga SC | Pnt (5-6): New Amaan Complex 2/6/2024. Yanga abeba ubingwa

penalti za mwisho hata sikutazama nilikimbilia washroom kabisa maana machozi yalianza kunilengalenga halafu nilikuwa nimekaa na makolo wanashangilia penalti za Azam..!!

Nimekuja kushangilia baada ya kutoka sasa watu wameshamaliza..!πŸ™Œ
Wakat nyie mnateseka hiv, mimi nishajilalia kitaaambo nasubiri updates tu JF.
 
Wapi feisal salum 😎

Wapi friends of feisal salum.

This is Yanga bhana πŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šView attachment 3007029
Huyu dogo na rafiki yake Mayele wanahitaji msaada wa kisaikolojia. Kinyume na hapo watateswa na mafanikio ya Yanga maisha yao yote.

Nilishangaa sana kwa hiki kitendo chake baada ya kufunga ile penati. Yaani ana utoto mwingi mpaka basi. Halafu anaoneka siyo muungwana.
 
Bado utoto umemjaa yani goli la mikwaju ya penati anafanya vile? Sijui angefunga la kawaida ingekuwaje.
 
Hapo kwa man u mmmh
Leo nimepiga Sala kinoma πŸ™πŸ™πŸ™Mwisho wa msimu Mungu ni mwema

Yanga πŸ†πŸ†
Real Madrid πŸ†πŸ†
Man Unite

Bacca Mchezaji bora wa mechi
Mm sioni kama alistahili kuwa man of the match alistahili kuwa Mohammed mustafa au goalkeeper huyu Tim yake ameshindwa kuipa ubingwa aiseeeee
 
Back
Top Bottom