FT: CRDB Bank Federation Cup 23/24 FINAL: Dak. 120 | Azam FC 0-0 Yanga SC | Pnt (5-6): New Amaan Complex 2/6/2024. Yanga abeba ubingwa

FT: CRDB Bank Federation Cup 23/24 FINAL: Dak. 120 | Azam FC 0-0 Yanga SC | Pnt (5-6): New Amaan Complex 2/6/2024. Yanga abeba ubingwa

Screenshot_20240603_091118.jpg
 
Hapo kwa man u mmmh



Mm sioni kama alistahili kuwa man of the match alistahili kuwa Mohammed mustafa au goalkeeper huyu Tim yake ameshindwa kuipa ubingwa aiseeeee
Uko sahihi.. Man of the match alistahili yule kipa. Sijajua walizangatia vigezo vipi
 
penalti za mwisho hata sikutazama nilikimbilia washroom kabisa maana machozi yalianza kunilengalenga halafu nilikuwa nimekaa na makolo wanashangilia penalti za Azam..!!

Nimekuja kushangilia baada ya kutoka sasa watu wameshamaliza..![emoji119]
𝐌𝐏𝐈𝐑𝐀 𝐍𝐈 𝐇𝐈𝐒𝐈𝐀

𝐊𝐰𝐚 𝐦𝐞𝐜𝐡𝐢 𝐲𝐚 𝐣𝐚𝐧𝐚 𝐏𝐫𝐞𝐬𝐬𝐮𝐫𝐞, 𝐓𝐞𝐧𝐬𝐢𝐨𝐧, 𝐖𝐚𝐬𝐢𝐰𝐚𝐬𝐢 𝐥𝐚𝐳𝐢𝐦𝐚 𝐯𝐢𝐰𝐞𝐩𝐨
 
Nasikia kuwa ni yeye ndiye aliyeomba kuondoka.
Inasemekanq ni ishu ya contract duration
Yanga wanataka wampe mwaka mmoja ,yy anataka miaka miwili
Whatever hata angetaka miaka mitatu ,bado ni mchezaji wa kiwango kabisa
 
Back
Top Bottom