Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo nakunywa Hanson choice my dearKunywa balimi upumzike mjomba.....yanga ni habari nyingine.
StephanneeeeeNahisi watachoka mapema
Wewe Makolo tuliaUto ama
Utakunywa mkojo wako ulewe umezubaa umechekwaLeo nakunywa Hanson choice my dear
unahisi sijatulia? 🤣🤣Wewe Makolo tulia
Acheni kututia PreshaOffside ya kwanza upande wa wananchi
Tulia tena Makolo Fcunahisi sijatulia? 🤣🤣
Nakunywa na wastaarabu, siko uswaziUtakunywa mkojo wako ulewe umezubaa umechekwa
Asubuhi unicheki nkurushie ya supu, usile chapati na maharage utapata kiungulia.....ukijumlisha na ushindi wa yanga kiungulia kitazidiLeo nakunywa Hanson choice my dear
Umeuaa 🤣🤣🤣🤣Asubuhi unicheki nkurushie ya supu, usile chapati na maharage utapata kiungulia.....ukijumlisha na ushindi wa yanga kiungulia kitazidi